Nimewakumbuka tu hawa watu

Nimewakumbuka tu hawa watu

M'Jr japo hujanikumbuka mimi nimekukumbuka mkuu long time sana aise Preta za kwako. Hivi unajua nakumiss sana aise? Mamndenyi mtalaka wangu za siku tele Katavi mwalindauli taitu kalesa
Mkuu nimekukumbuka sana ila tatizo kila nilikuwa nikijaribu kumention jina lako linakataa linaweka @, nisamehe sana mkuu. Nimemsahau na [MENTION]paka jimmy[/MENTION] asee
 
Marhaba dogo hujambo? Haya weekend hii usije ukaiba gari ya maza halafu ukampa mchuchu apige misele si uliona yule mwenzio mchuchu alitaka kugeuza swift kuwa boti

blaza, unautani mbaya sana, natumia cha kwangu sasa....
 
jamani nimesoma yote haikuwa hivyo bali umeedit na kuniweka mwanzoni sikuwepo ila nashukuru sana kwa kuiinikumbuka bestito nimekumisije

hauhitaji tena gari? au umeshapata?

Hebu soma vizuri kwenye hiyo post..........Tatizo lako hukusoma mpaka mwisho mama ladyfurahia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom