Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

nataman angekuwa na moyo kama wako.
thanks ila nimemchagua yeye najijua mapungufu yangu i need a man i can rely upon....niko emotional weak sana so naitaji mtu anayeweza kunijali na yeye hili ameliweza

DON'T take LIFE too serious, coz It ain't permanent!

Listen to your heart, and do what you gotta do!
 
Busara tupu mama. Umemaliza kila kitu! ndo maana nakupendaga sana. Embu njoo PM fasta nikupe kiss la sumaku tugandiane mazima.

Mpendwa Marytina , zingatia huu ushauri alokupa Khantwe

Asante hubito....did'nt u know? Njia ya kwenda pm ina siafu kweli leo labda kesho watakuwa wamepungua
 
Mtoa mada bado unapokea ushauri?
Kwanza kabisa nikuulize...umeokoka au unasali kwa walokole? Lengo kuu la wewe kuokoka ilikuwa kwenda mbinguni au ulitaka tu ku-regain ur dignity na uishi maisha ya kawaida kama watu wengine ikiwa ni pamoja na kupata mumue? Huu ushauri wangu naokupa na-assume umeokoka ukiwa na lengo la kwenda mbinguni.
Kwanza kabisa mtu unapookoka ya kale yanakuwa yamepita...umekuwa kiumbe kipya sasa. Yeyote anayekuhukumu kwa historia yako msamehe bure then muombee...sioni sababu ya kuficha ukweli kwa huyo mchumba wako kwa sababu unaweza ukaficha akasikia kwa watu wengine na vilevile utalazimika kutunga stori kadhaa za maisha yako ili ku-cover hako ka segment ka kujiuza,jambo ambalo si afya kwa mahusiano hasa yale ya kudumu....nakuambia utaishi maisha ya mateso sana mi nakushauri ufunguke tu...huyo mchumba hata asipokuelewa akakuacha we songa mbele mume utamkuta mbele ya safari na hata usipompata songa mbele Yesu ni zaidi ya mume,ni zaidi ya mtoto na maisha haya tuliyonayo ni ya kitambo tu wewe tazamia yale ya milele

Aah I couldn't have said it any better. Mama mtumishi umeshusha hekima zako looh, barikiwa sana
 
Ulishawahi kutoa tigo ulipokuwa changudoa? Marytina
 
Last edited by a moderator:
Tena boa umjulishe mapema kabisa kwani asili haipotei. Wewe ni changudoa na umezoea kuchapwa miti ya aina tofauti tofauti kila kukicha, ipo siku utajisahau na kuanza kufanya mikiki yako mbele ya huyu jamaa yako, Kata Kamba ondoka bibie, changudoa hafugiki.
 
Changudoa home Arusha, baba Mngoni, mama Mchagga

Ilikuwa hivi baba na mjomba waliwekwa korokoroni kwa kesi ya ujambazi tukiishi na kusoma Arusha, mimi na wadogo zangu wawili kuna siku ghafla kama saa nne mama akaja shuleni (day skuli) akatuchukua (wawili, mdogo alikuwa hasomi) bila kupitia nyumbani tukaelekea Tanga tukakaa hotelini for two weeks then tukaelekea Kenya Nakuru ambapo mama alinunua nyumba na gari tukaanza maisha bila ya baba na mjomba.

Wote watatu tukapelekwa boarding skuli Nairobi-Kenya, mama akarejea Nakuru miaka minne baadae mama akakamatwa akarejeshwa Arusha kuunganishwa kwenye kesi, mimi ndiye nlikuwa mtoto wa kwanza na wote hatukuwa tumejua kama mama kakamatwa mpaka tuliporudi nyumbani likizo.

Majirani walitushangaa na kuanza kutuuliza alipo mama, kwa msaada tukavunja mlango gari ilikuwepo kuna chumba ilikuwa inafungiwa nliwaambia wadogo zangu mama kaenda kumsalimu mjomba atarejea. Nikaanza misele Nakuru mjini na kiboyfriend changu, siku mmoja akaja mama fulani nlipokuwa nimepaki kigari mjini akajitambulisha ni Mtanzania mmarangu na aliongea kichagga nikazuga simsikii.

Akaniambia amenitambua kwa kuwa anaifahamu gari ya mama na anajua mama na nimefanana na mama. Akanieleza kuhusu mjomba, baba na akaniambia mama alikuwa gerezani Arusha kwa kesi. Akanitaka niiuze gari na nyumba fasta kabla havijakamatwa. Akaniambia nisiwe narudi rudi kukaa muda mrefu pale nyumbani mpaka atakapoachiwa mama nlikuwa form three-Nairobi, four days baadae niliuza gari, nyumba ikagoma kwa kuwa collateral ya mkopo alichukua mama benki. Nikawaamuru Madogo tuondoke tuwahi kurudi shuleni mama anatusubiri Nairobi.

With time hata mwaka haukuisha hela ikakata nikashawishiwa na a classmate Elizabeth-Mkenya mkamba wa Nairobi

Tukaanza kujiuza likizo and life ikasonga na nikawa nawalipia wadogo na mimi ada. Nilijiuza mpaka nikasoma chuo na wadogo wakaingia sekondari thank god mama aliachiwa baada ya mitatu miaka kuna wakati tuligombana sana na wadogo zangu wakiamini mama amenipa access ya akaunti zake za benki na natumia hela nyingi kivyangu huku nikiwapa wao kidogo.

Tatizo: Kwa sasa tupo Arusha nina boyfriend mmasai na kila wakati wa semina kanisani mchungaji husema ni bora wapenzi wachumba muwekane wazi kuhusu maisha yenu hata ya nyuma ili isiwagharimu baadae. Naogopa sana kumwambia jamaa kuwa niliwahi kuwa nilikuwa changudoa.

NOTE:KUNA WADADA WAKENYA AMBAO NLIJIUZA NAO WAMEHAMIA ARUSHA NA HAWANA KAZI ZA MAANA, nlilazimika kuhama kanisa ambalo mimi nlikuwa kiongozi wa vijana baada ya baadhi yao kuanza kusali pale kanisani uamuzi ambao BF na mchungaji wanaushangaa mpaka leo.Kwa sasa nasali kikanisa kidogo njee ya mji kwa kuwaogopa washirika uchangudoa wenzangu wa NAIROBI...nateseka sana kuwaza

Ufafanuzi:Natumiwa PM nyingi zikitaka ufafanuzi, hii stori ni 5% ya maisha yangu na inaeleza namna nlivyoanza na kuacha uchangudoa tu.Stori haielezi maisha ya mama wala mjomba, namna walivyokamatwa na nini hasa walichokuwa wakifanya,namna mama alivyotoroka na baadae kukamatwa.HAIELEZI namna tulivyosafiri toka ARUSHA-TANGA-NAKURU KENYA
ww marytina ni noma I appreciate ur hustle. we ni mwanamke was kipekee mjanja. ni naomba nipm namba yako kama utapendezwa nami niko tayari kufanya kutu na ww. I just feel the difference. bonge lvde bwww mjanja kinoma
 
eti kaka yangu wewe unaweza kumwoa msichana aliyewahi kujiuza tena miaka kitatu?

kama changudoa ameshaacha kabisa na ameokoka mimi niko tayari kumuoa kwa kuwa tayari anayajua maisha yalivo na ataitunza ndoa kwa umakin akiamin hakuna nafas nyingine zaid..
 
wewe fanya hiviii....mueleze kiujanja huyo mchumba wako maisha uliyokuwa unaishi Nairobi ulikua na pesa ulizoachiwa na mama...kiasi cha wasichana wenzio kudhani ulikua unajiuza.

Hii itasaidia ku pre empty story ya kujiuza pale itakapotokea...Pia mwambie wenzako Nairobi walikua wanakuonea sana wivu.....Just tell him indirectly

Usithubutu kumwambia ulikua Changu
 
Uukiijua kweli itakuweka huru! kama anakupenda bado atakupenda tuu,kukujali&kukuheshimu. Machangu wangapi wamepata waume na wametulia na hapo mume alimnunulia pale shivas,mrina,via~via nk?
 
Back
Top Bottom