rejea topic hii
Changudoa home Arusha, baba Mngoni, mama Mchagga
Ilikuwa hivi; baba na mjomba waliwekwa Korokoroni kwa kesi ya ujambazi tukiishi na kusoma Arusha. Mimi na wadogo zangu wawili kuna siku ghafla kama saa nne mama akaja shuleni (day skuli) akatuchukua (wawili, mdogo alikuwa hasomi) bila kupitia nyumbani tukaelekea Tanga tukakaa hotelini for two weeks then tukaelekea Kenya Nakuru ambapo mama alinunua nyumba na gari tukaanza maisha bila ya baba na mjomba.
Wote watatu tukapelekwa boarding skuli Nairobi-Kenya, mama akarejea Nakuru. Miaka minne baadae mama akakamatwa akarejeshwa Arusha kuunganishwa kwenye kesi. Mimi ndiye nlikuwa mtoto wa kwanza na wote hatukuwa tumejua kama mama kakamatwa mpaka tuliporudi nyumbani likizo.
Majirani walitushangaa na kuanza kutuuliza alipo mama. Kwa msaada tukavunja mlango, gari ilikuwepo, kuna chumba ilikuwa inafungiwa. Niliwaambia wadogo zangu mama kaenda kumsalimu mjomba atarejea. Nikaanza misele Nakuru mjini na kiboyfriend changu. Siku moja akaja mama fulani nilipokuwa nimepaki kigari mjini akajitambulisha ni Mtanzania mmarangu na aliongea kichagga nikazuga simsikii.
Akaniambia amenitambua kwa kuwa anaifahamu gari ya mama na anajua mama na nimefanana na mama. Akanieleza kuhusu mjomba, baba na akaniambia mama alikuwa gerezani Arusha kwa kesi. Akanitaka niiuze gari na nyumba fasta kabla havijakamatwa.
Akaniambia nisiwe narudi rudi kukaa muda mrefu pale nyumbani mpaka atakapoachiwa mama. Nilikuwa form three-Nairobi, four days baadae niliuza gari, nyumba ikagoma kwa kuwa collateral ya mkopo alichukua mama benki. Nikawaamuru Madogo tuondoke tuwahi kurudi shuleni mama anatusubiri Nairobi.
With time hata mwaka haukuisha hela ikakata nikashawishiwa na a classmate Elizabeth-Mkenya mkamba wa Nairobi. Tukaanza kujiuza likizo and life ikasonga na nikawa nawalipia wadogo na mimi ada. Nilijiuza mpaka nikasoma chuo na wadogo wakaingia sekondari.
Thanks God mama aliachiwa baada ya miaka mitatu. Kuna wakati tuligombana sana na wadogo zangu wakiamini mama amenipa access ya akaunti zake za benki na natumia hela nyingi kivyangu huku nikiwapa wao kidogo.
Tatizo: Kwa sasa tupo Arusha. nina boyfriend mmasai na kila wakati wa semina kanisani mchungaji husema ni bora wapenzi wachumba muwekane wazi kuhusu maisha yenu hata ya nyuma ili isiwagharimu baadae. Naogopa sana kumwambia jamaa kuwa niliwahi kuwa changudoa.
NOTE: Kuna wadada wa Kenya ambao nilijiuza nao wamehamia Arusha na hawana kazi za maana.
Nlilazimika kuhama kanisa ambalo mimi nlikuwa kiongozi wa vijana baada ya baadhi yao kuanza kusali pale kanisani uamuzi ambao BF na mchungaji wanaushangaa mpaka leo. Kwa sasa nasali kikanisa kidogo nje ya mji kwa kuwaogopa washirika uchangudoa wenzangu wa Nairobi... Nateseka sana kuwaza.
Ufafanuzi: Natumiwa PM nyingi zikitaka ufafanuzi. Hii stori ni 5% ya maisha yangu na inaeleza namna nilivyoanza na kuacha uchangudoa tu. Stori haielezi maisha ya mama wala mjomba, namna walivyokamatwa na nini hasa walichokuwa wakifanya, namna mama alivyotoroka na baadae kukamatwa. Haielezi namna tulivyosafiri toka ARUSHA-TANGA-NAKURU KENYA.

read between the lines am proud of what you did as a sisiter to your siblings. and looks like what you want is only marriage you dnt care the consequences anyway utajisikiaje pale ushaolewa halaf anakuja kujua kuhusu hyo tabia yako na akakuacha cz ya hilo swala? ipi ni aibu kubwa kwako?
anyway mi kwangu ukija ntakutreat kama ambavyo walikutreat[/QUO
Siku zote ukeli humweka mtu huru, kama wewe si mkweli wengine ni wakweliUkisema ukweli tu umeula wa chuyaaa,maana hata yeye kuna aliyoyafanya lakim hatakuambiaa kila mtu siri yakee we baki na yako watanzania kwenye ukweli bado hatujajifunza
Wewe UCHUNE tuuuuu,hakuna cha kuweka wazi wala nini,huyo jamaa ukimwambia ukweli utakua umempa SILAHA,itakua kila ukikosea au kumuudhi utapata vibao na kuitwa MALAYA CHANGU DOA,kwa hiyo jikalie kimya tuu ila usije UKAMSALITI tu sababu waswahili wanasema MWENYE LAKE JAMBO HAACHI,sasa nakusihi fungia kufuli kitumbua chako.tatizo nimekuwa mtu wa dini na sipendi kuendelea kuwa muongo kama mama alivyonidanganya
pia kuna waschana wawili wakenya wanaishi hapa ARUSHA na tulifahamiana KENYA kwenye hotel
my dear kua muazi kwake kama ulipangiwa awe ndo mumeo atakua bila mashaka hakuna kitu kizuri kama kua mkweli wa nafsi kamwe haikusuti kua makini usijejuta baadae