Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

Nani kasha wahi kuambiwa aliye bikiri mkewe?
Nakushauri usije ukamweleza hata siku moja.
Jitahidi uwe mwaminifu kiasi kwamba hata akisikia atajua wanakufananisha tu.
Bwana akutie nguvu usirudi nyuma. Amina
 
Hallow wana jukwaa nawasalim
nimekuwa nikipokea private meseji nyingi sana zikiomba updates za kisa hiki...nawahaidi nitawapa muendelezo nilipofikia hivi karibuni.
 
Okay dada'ake. Take care and we are eagerly waiting for update in that regard.

BTW... Huyo jamaa akikumwaga, njoo kwangu nikuoe na tufanye maisha. Your TRUTH has already made you free in my heart! I always don't consider the PAST, however I heed on the PRESENT and onwards. Teh teh

N.B: LIFE has a lot of options!

-Kaveli-
 
Ukisema inaweza kuwa mwisho wako na yeye, ukinyamaza hao "malaya" wakaja lipua inaweza kuwa mwisho. Pagumu hapa
 
Mbona tatizo almost iko through kwa sababu unapompokea Yesu ya kale yamepita yamekuwa mapya swali kwako je umeokoka wewe na mchumba wako au ni wakristo was kawaida? Biblia inasema ukimjua Yesu na kumlibali kama kiongozi wa maisha yako atakuweka guru..
 
Mtoa mada bado unapokea ushauri?
Kwanza kabisa nikuulize...umeokoka au unasali kwa walokole? Lengo kuu la wewe kuokoka ilikuwa kwenda mbinguni au ulitaka tu ku-regain ur dignity na uishi maisha ya kawaida kama watu wengine ikiwa ni pamoja na kupata mumue? Huu ushauri wangu naokupa na-assume umeokoka ukiwa na lengo la kwenda mbinguni.
Kwanza kabisa mtu unapookoka ya kale yanakuwa yamepita...umekuwa kiumbe kipya sasa. Yeyote anayekuhukumu kwa historia yako msamehe bure then muombee...sioni sababu ya kuficha ukweli kwa huyo mchumba wako kwa sababu unaweza ukaficha akasikia kwa watu wengine na vilevile utalazimika kutunga stori kadhaa za maisha yako ili ku-cover hako ka segment ka kujiuza,jambo ambalo si afya kwa mahusiano hasa yale ya kudumu....nakuambia utaishi maisha ya mateso sana mi nakushauri ufunguke tu...huyo mchumba hata asipokuelewa akakuacha we songa mbele mume utamkuta mbele ya safari na hata usipompata songa mbele Yesu ni zaidi ya mume,ni zaidi ya mtoto na maisha haya tuliyonayo ni ya kitambo tu wewe tazamia yale ya milele
 
nashukuru sana kwa huu ushauri
hapa nasikiliza wimbo wa manukato wa SEDEKIA yaan natamani ninyanyue simu nimwambie jamaa ukweli ila nahisi kutetemeka

bado napokea ushauri kwa kuwa ni miezi minne tokea wana JF waliponichanganya zaidi......yaan hili jambo naona hamna namna zaidi ya to deal nalo kiroho.....
 
Mbona tatizo almost iko through kwa sababu unapompokea Yesu ya kale yamepita yamekuwa mapya swali kwako je umeokoka wewe na mchumba wako au ni wakristo was kawaida? Biblia inasema ukimjua Yesu na kumlibali kama kiongozi wa maisha yako atakuweka guru..

najutia sana maisha yangu
naona hamna namna kabisa ya kuishi naye na nakaribia kuikubali hiyo hali kwan nimepanga kumwambia
siwezi usemea moyo wake kama ana imani kiasi gani...ila kimwonekano ni mlokole safi....kinachoniumiza ni namna anavyosikitika anapowaona machangudoa usiku sjui itakuwaje aishi na changudoa chumba kimoja
 
Okay dada'ake. Take care and we are eagerly waiting for update in that regard.

BTW... Huyo jamaa akikumwaga, njoo kwangu nikuoe na tufanye maisha. Your TRUTH has already made you free in my heart! I always don't consider the PAST, however I heed on the PRESENT and onwards. Teh teh

N.B: LIFE has a lot of options!

-Kaveli-
nataman angekuwa na moyo kama wako.
thanks ila nimemchagua yeye najijua mapungufu yangu i need a man i can rely upon....niko emotional weak sana so naitaji mtu anayeweza kunijali na yeye hili ameliweza
 
Mtoa mada bado unapokea ushauri?
Kwanza kabisa nikuulize...umeokoka au unasali kwa walokole? Lengo kuu la wewe kuokoka ilikuwa kwenda mbinguni au ulitaka tu ku-regain ur dignity na uishi maisha ya kawaida kama watu wengine ikiwa ni pamoja na kupata mumue? Huu ushauri wangu naokupa na-assume umeokoka ukiwa na lengo la kwenda mbinguni.
Kwanza kabisa mtu unapookoka ya kale yanakuwa yamepita...umekuwa kiumbe kipya sasa. Yeyote anayekuhukumu kwa historia yako msamehe bure then muombee...sioni sababu ya kuficha ukweli kwa huyo mchumba wako kwa sababu unaweza ukaficha akasikia kwa watu wengine na vilevile utalazimika kutunga stori kadhaa za maisha yako ili ku-cover hako ka segment ka kujiuza,jambo ambalo si afya kwa mahusiano hasa yale ya kudumu....nakuambia utaishi maisha ya mateso sana mi nakushauri ufunguke tu...huyo mchumba hata asipokuelewa akakuacha we songa mbele mume utamkuta mbele ya safari na hata usipompata songa mbele Yesu ni zaidi ya mume,ni zaidi ya mtoto na maisha haya tuliyonayo ni ya kitambo tu wewe tazamia yale ya milele

Mama mkwe Huyo... Shikamoo
 
Busara tupu mama. Umemaliza kila kitu! ndo maana nakupendaga sana. Embu njoo PM fasta nikupe kiss la sumaku tugandiane mazima.

Mpendwa Marytina , zingatia huu ushauri alokupa Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom