thats very true nahis anaogopa zaid kuachwa kuliko kua free na nafsi yake
unaulizwa umeanza lini mahusiano chuo .. wakati darasa la saba ndiyo umeanza.... haya umetembea na wangapi mmoja we wa pili.. kudadeki ukiweka list hapo coaster inajaa.. ha haha shoga wee mie nakudanganya mpaka unaona ukweli,,, ukibisha kitandani nalia wakati wa kunjunjana
Unajua mamy Kama alipangiwa wako wala hainA maaana Ila Kama hakua wako lazima utamkosa tu ni saw a na kutaka kubadili cheupe kiwe chekundu duh haiwezekani
hakuna kusema uweliHhhhaaaaaaaaaaaaaa,halaf ye aseme kweli thubutuuuuuuu
mwache na kihere here chake aje alikoroge, navyojua wanaume akimwambia tu jamaa anasepa ndoa inayeyuka
Pole sana, ila hizi details ulizoweka humu mhhhhhh! Kama hayumo humu ni ahueni kwako au mtu mliyekuwa mnasali pamoja ambaye anaweza kujumlisha hizi details na kupata jawabu wewe ni nani. Pole sana tubu kwa mola wako kisha umuombe akusaidie. Ukiamua kufunguka hujui mwenzio ataumia vipi na maamuzi yake anaweza kabisa kukupiga chini. Pole sana.
eti kaka yangu wewe unaweza kumwoa msichana aliyewahi kujiuza tena miaka kitatu?
Mwisho wa siku, ukweli ndiyo utakuweka huru!
shosti weee ukianza uongo unakuwa forever hata picha ikija unabisha .. usije jaribu kusema ukweli.. si kila ukweli utajenga
Saa nyingine inabidi upange maisha yako mwenyewe ukisubirii unaweza zeekea kwenu,uzuri hakufanya uchagundoa akiwa nae anyamazeee
hapana at all sikuwa nakubali wateja wa full night ambao ni wapenda hiyo tabiaVP ulivyokuwa unajiuza ushawahi kutoa PETE?
Unaifaham stara ya mwanamke
kama unampenda basi usimuumize na historia yako ya maisha.... ingekuwa vyema kama ungefanikiwa kumuuleza mwanzoni kabisa yeye achagu e anakuwa na mtu wa namna gani.. we mambo yameiva unajifanya kusema bibi wewe utajitafutia safar..... usitengeneze fimbo ya kukuchapia hawa viumbe waone tu wanakojoa wamesimama ni hatari sana ... matatizo yako watayageuza yawe rungu ila kama unajua ana mdomo wa kukusitir mweleze kheeeee nani atakubali kuoa changudoa atajuaaje umeacha? akiona dalili za kuchitiwa bibi utaambiwa umeanza uchangudoa tena... my word usimwelezeniko mdhaifu sana mbele yake najihisi siwezi kabisa kukataa ikiwa ataelezwa
ukimpenda mtu unageuka mtumwa na zezeta na nampenda sana jamaa
hi samora
umenichuniaga sana
je can u be ma husband in case likibumburuka na jamaa akaniacha?
niko mdhaifu sana mbele yake najihisi siwezi kabisa kukataa ikiwa ataelezwa
ukimpenda mtu unageuka mtumwa na zezeta na nampenda sana jamaa