Mwenyewe nilimshtukia ana taka ushauri lakini ana mawazo yake tayari. Kila ushauri anabisha kwa kuweka visabu Mara ooh sijui nini.
i missed u alot bw
si mkorofi si mtu wa gubu wala mihasira ila kuna wakati tukichelewa iwe kwenye sherehe wakati tukirudi akiona machangudoa anasikitika na kuanza kuufokea mpaka usukani wa gari....roho huwa inaniuma sana
mi naona mueleze tu shida uliyoipata na ikasababisha ufanye nini. Kama njemba inakupenda kisawa itameza habari hiyo chungu. Akikutema usijali, kwani inaelekea wewe ni mwanamke jasiri na utaweza kufikia ndoto yako na hata furaha ya maisha yako.what if i keep it down as posibo ila akajajua baadae kupitia kwa wadada wakenya ambao wako hapa AR?
Kama ulivyokiri tatizo lako ni kuwa mtu wa dini. Ulitakiwa kuwa mfuasi wa kristo na siyo mtu wa dini na hilo lingekufunua kuwa ukweli utakuweka huru. Hii fichaficha itasababisha uugue pressure na vidonda vya turbo bure.tatizo nimekuwa mtu wa dini na sipendi kuendelea kuwa muongo kama mama alivyonidanganya
pia kuna waschana wawili wakenya wanaishi hapa ARUSHA na tulifahamiana KENYA kwenye hotel
labda akufuate baada ya kujua ukweli, wanaume tunatafuta wanawake watakatifu huo ndio ukweli. Tunapenda kusifiwa juu ya wake zetu na sio maneno mengine. Lakini kama uko tayari kwa lolote mwambie usisite kutupa mrejesho tafadhali.mmh ina maana simfai kuwa mkee wa mwanaume yeyote ikiwa ukweli utajulikana????
Akijidanganya tu kupeleka hiyo issue kwa pastor. Anavuliwa chupi.my dear friend,first u need counselling. second go to your pastor i think i will asist u and ua boyfriend.