Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
mmh hivi kaka yako akikueleza kuhusu kutaka kumuoa former changudoa hutamkosoa???
nina kazi nina kijiIST ila nawaza sana itakuwaje ikibumburuka
Ndo na Mimi nakuambia kua why ujute baadae bas ni vyema uwe mkweli tu