BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Ndiyo sababu umeambiwa na wengi humu usitie neno kaa kimya, labda upange mkakati kama siri yako kwa huyo mpenzi wako itavujishwa utajitetea vipi? Vinginevyo amua kuweka kila kitu juu ya meza kwamba. "Mie nina siri yangu nilikuficha kwa muda mwingi lakini sasa siri hii inanitafuna sana ni bora tu nikwambie. Mie niliwahi kuwa changudoa na sababu zilizonifanya niamue kufanya uchangudoa ni A, B, C na D" halafu uone kama penzi litaendelea ama litafikia ukingoni.
mmh!
ukiwajua machangudoa u will neva trust them hata kwa hatua mmoja