Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Tatizo umeshajihukumu mwenyewe, na unajiongezea mzigo kwa kutosema ukweli. Only the truth will set you free.nimeteseka sana maisha ya udogoni na sasa naelekea kuanza mateso ya ujana mpaka uzeeni......najiona sifai, sifai kabisa hamna mwanaume atakayenivumilia
Watu wanaoa Kardashians na wanajaribu kuwabadilisha, itakuwa wewe ambaye umeshabadilika mwenyewe.