Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

Hilo sio jambo la kushangaza issue kuubwa ni Neno au jina changudoa maana halina heshma katika jamii naomba unitafute kwa namba hii tuongee nikushauri zaidi 0788322596
 
Usitumie neno changudoa, mweleze tu kwamba ulijiuza. Kujiita changudoa wakati sio so sahihi.

Pili, Siku moja muombe kila mmoja wenu amwelezee mwenzie mambo ya mapenzi. enzi hizooo wewe utampima kama anayake. akisema hana. Kauka. akikupa za x wake na we mmegee za Maisha yaliyopelekea kutafuta pesa kwa kushawishiwa kugawa K.

Katy usijidhalilishe kwa binadam weznzio. hidhalilishe kutubu moyoni kwa Mungu pekee. Maneno ya kujiuza kwako yakisambazwa hayana athar maadam we kW Sasa ni MTU wa mungu
 
Marytina ni mke kwa mwanaume anaejitambua. Kwa post zake hata BF wake akimtema ni mke wa kutulia nyumbani kazima atadakwa tu

wasiwasi marytina ni ww mbona umekaa kimama huruma. Naona wadau washaanza kuomba contract.

shaka ya mwanaume yyt kwako ni kwamba unahatar ya kugongwa tena. K yako ishazoea madushe. he itaweza kutulia kweli??

Ila kwa MTU ambae anapenda mwanamke atakaetulia nae wakuu ni Marytina baaaaaaas
 
kwahiyo sasa hivi dada Marytina umeshaacha kabisa uchangudoa, naskia jasiri haachi asili? na kadri mwanamke anavyofanya ngono mara nyingi ndoyo anahitaji zaidi, kwako wewe hilo likojee?
 
Last edited by a moderator:
Marytina ni mke kwa mwanaume anaejitambua. Kwa post zake hata BF wake akimtema ni mke wa kutulia nyumbani kazima atadakwa tu

wasiwasi marytina ni ww mbona umekaa kimama huruma. Naona wadau washaanza kuomba contract.

shaka ya mwanaume yyt kwako ni kwamba unahatar ya kugongwa tena. K yako ishazoea madushe. he itaweza kutulia kweli??

Ila kwa MTU ambae anapenda mwanamke atakaetulia nae wakuu ni Marytina baaaaaaas

wewe hupendi atakayetulia? unasakizia tu.
 
Inahitaji moyo mwanaume kuukubali ukweli kama huo yani ukifikilia mashine yako imetumika na watu kibao,mwenye kubwa,ndogo,saizi ya punda ya mbuzi,magovi nk nk....ingawa kwangu naona si tatizo,tatizo ni je umebadilika kweli?..baas
hi
yaan hapo ndio patakuwa na tatizo kila mara kwa maana kama toka ukurasa wa kwanza nimeeleza kuachana kabisa na uchangudoa na hamunielewi sembuse yeye siku nikichelewa iwe kazini au kwenye sherehe hata kama nlikuwa na ndugu yake HATANIELEWA.....ataanza maneno ya kuniumiza
 
Hakuna mwanaadamu aliyekamilika kila mtu ana past experience zake la muhimu ni kwamba umetambua makosa yako na umetubu kwa mola wako.Hakuna kosa lisilostahiki msamaha Marytina
hi
nikiwa JF napata kujiaamin na najiona robo salama...........ila nikiwa mwenyewe usiku nkianza kuwaza huwa nataman kulia nakujiona ovyo sana
 
hi
nikiwa JF napata kujiaamin na najiona robo salama...........ila nikiwa mwenyewe usiku nkianza kuwaza huwa nataman kulia nakujiona ovyo sana
Unafanya vizuri sana kutumia JF kama nguzo yako ya kujiondolea na kujipunguzia mazito yaliyo moyoni.Ingelikuwa ni vyema pia kama ungepata nafasi ya kuonana na mwanasaikolojia kwasababu upo on denial.Huwezi kubadili yaliyotokea kwenye maisha yako unapaswa ujifunze kukubali hayo ni matokeo na hayakubadilishi utu wako,maisha wakati mwengine yanafanya watu wanafanya mambo ya ajabu sana.Pole kwa yote lkn usiache kuwa mkweli.
 
Marytina bora ukae kimya ni ngumu sana kwa sis wanaume kuukubali ukweli kama huo, kama baadae akijua itakuwepo namna ya kuelezea lakini sio sasa hivi.
 
Bibie,kuna nguvu kubwa sana ya kusikia jambo "direct from the horse mouth" na kulielewa tofauti na kutoka kwa "third parties".
Nguvu ya kusema kweli,nguvu ya kuwa muwazi na nguvu ya kukiri zikiungana zinaleta kitu inaitwa "toba ya kweli",na hii toba ya kweli maana yake ni kuwa unajutia yale uliyoyoyafanya.
Hivyo,ukiwa muwazi kwa kumweleza ukweli wote,hakika nakwambia hapo utakuwa umeonyesha ni jinsi gani unajuwa kuwa hilo si jambo jema na unalijutia kweli,na hapo ndipo utaiona nguvu ya hayo mambo matatu hapo juu ambayo ni msamaha wa kweli.
Hakuna jambo jema ndani ya mahusiano kama uwazi na ukweli.

najutia kwa nini sikumwambia siku ya kwanza alipoonesha kunipenda....nina matatizo makubwa matatu ikiwa ntaachika

1.To be honest najihisi na najiona kama nimechoka sana kufikiri kwa ajili ya maisha yangu......ubongo kama unashrink
so naitaji mtu wa kufikiri kwa niaba yangu, mtu wa kuplan na kuweka au to monitor mikakati kwa niaba yangu as i am too tired.
Yaan nalitumia kanisa kama sehemu ya kujiburudisha na kujifariji kwa kuwa nakutana na watu wenye shuhuda mbalimbali.Wikiend naweza kwenda kanisani hata mara mbili yaan asubuhi kanisa hili then jioni kanisa lingine.

2.Nimekutana na wanaume wengi sana na kuna wakati nilifikiri siwezi kupenda ila huyu Mmasai ni right person kuwa na mimi na anafikiri, ana panga na kumonitor kwa niaba yangu.Si tajiri na sio kwamba sitongozwi na wanaume matajiri hapa ARUSHA na NAIROBI, nimependa sana na naamin nkiachika ntahangaika maisha yangu yote duniani.

3.Natakiwa niwe na mume anayejali sana kwa maana mimi ni rahisi sana kuanguka.(SI KURUDI KWENYE UCHANGUDOA BALI KUJIINGIZA KWENYE BIASHARA YEYOTE CHAFU)........kumbuka my uncle,dad and the entire circle nlliyokulia bado ipo na ipo tayari kunisaidia na wanataka niache kazi nifanye biashara.Huko kwenye biashara ndiko michezo yote michafu hiubuka.......kurushana, kudhulumiana, kuporana, kutumiana majambazi, kutekeana dili ni uchafu usioongeleka.So naitaji mwanaume wa kuwa nami kiimani na siyo wa kunikwaza nije kujikuta narudi nyuma
 
Lakini wanaume zetu hawaupendi ukweli si uongo wao wanataka kudanganywa.Ila kuna vitu havifichiki rafiki kama situation ya huyu dada kuna watu wengi wanahusika kwahio kuna uhakika wa asilimia 90 jamaa atajua...
duh hatari sana
 
Acheni hizi habari bana, nani tulimchagua azungumze kwa niaba ya wanaume wote kwamba tunapenda kudanganywa?
Walio wengi...soma kwenye thread hii utaona wanavyoendekeza ego zao...Mimi naona mtu unaangalia na situation binti hajaingia ndoani so ni muhimu aweke vitu sawa angelikuwa keshaolewa ningeconsider ushauri mwengine.Ni raha sana mtu akikukubali ka ulivyo!
 
najutia kwa nini sikumwambia siku ya kwanza alipoonesha kunipenda....nina matatizo makubwa matatu ikiwa ntaachika

1.To be honest najihisi na najiona kama nimechoka sana kufikiri kwa ajili ya maisha yangu......ubongo kama unashrink
so naitaji mtu wa kufikiri kwa niaba yangu, mtu wa kuplan na kuweka au to monitor mikakati kwa niaba yangu as i am too tired.
Yaan nalitumia kanisa kama sehemu ya kujiburudisha na kujifariji kwa kuwa nakutana na watu wenye shuhuda mbalimbali.Wikiend naweza kwenda kanisani hata mara mbili yaan asubuhi kanisa hili then jioni kanisa lingine.

2.Nimekutana na wanaume wengi sana na kuna wakati nilifikiri siwezi kupenda ila huyu Mmasai ni right person kuwa na mimi na anafikiri, ana panga na kumonitor kwa niaba yangu.Si tajiri na sio kwamba sitongozwi na wanaume matajiri hapa ARUSHA na NAIROBI, nimependa sana na naamin nkiachika ntahangaika maisha yangu yote duniani.

3.Natakiwa niwe na mume anayejali sana kwa maana mimi ni rahisi sana kuanguka.(SI KURUDI KWENYE UCHANGUDOA BALI KUJIINGIZA KWENYE BIASHARA YEYOTE CHAFU)........kumbuka my uncle,dad and the entire circle nlliyokulia bado ipo na ipo tayari kunisaidia na wanataka niache kazi nifanye biashara.Huko kwenye biashara ndiko michezo yote michafu hiubuka.......kurushana, kudhulumiana, kuporana, kutumiana majambazi, kutekeana dili ni uchafu usioongeleka.So naitaji mwanaume wa kuwa nami kiimani na siyo wa kunikwaza nije kujikuta narudi nyuma

Pole sana, i can feel it.!
 
Back
Top Bottom