Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

Dhambi zingine tunatubu kwa Mungu tu bila kushirikisha wenzi wetu na tunaamini anatusamehe. Huyo binti aende faragha yeye na Mungu wake aombe msamaha, then atakuwa na amani ya moyo na maisha yataendelea.
Mkuu you may do that and assume you finished lakini hakika nakuambia hutakuwa huru na nafsi yako, sema tu kwa sababu watu tunachanganya ukweli na uongo kwenye hizi hadithi zetu za kufikirika...but in reality kuna muda wa confession.
 
Changudoa home Arusha, baba Mngoni, mama Mchagga

Ilikuwa hivi baba na mjomba waliwekwa korokoroni kwa kesi ya ujambazi tukiishi na kusoma arusha mimi na wadogo zangu wawili kuna siku gafla kama saa nne mama akaja shuleni (day skuli) akatuchukua (wawili, mdogo alikuwa hasomi) bila kupitia nyumbani tukaelekea tanga tukakaa hotelini for two weeks then tukaelekea Kenya Nakuru ambapo mama alinunua nyumba na gari tukaanza maisha bila ya baba na mjomba.

Wote watatu tukapelekwa boarding skuli Nairobi-Kenya, mama akarejea nakuru miaka minne baadae mama akakamatwa akarejeshwa arusha kuunganishwa kwenye kesi, mimi ndiye nlikuwa mtoto wa kwanza na woote hatukuwa tumejua kama mama kakamatwa mpaka tuliporudi nyumbani likizo.

Majirani walitushangaa na kuanza kutuuliza alipo mama, kwa msaada tukavunja mlango gari ilikuwepo kuna chumba ilikuwa inafungiwa nliwaambia wadogo zangu mama kaenda kumsalimu mjomba atarejea. Nikaanza misele Nakuru mjini na kiboyfriend changu, siku mmoja akaja mama fulani nlipokuwa nimepaki kigari mjini akajitambulisha ni Mtanzania mmarangu na aliongea kichagga nikazuga simsikii.

Akaniambia amenitambua kwa kuwa anaifahamu gari ya mama na anajua mama na nimefanana na mama.Akanieleza kuhusu mjomba,baba na akaniambia mama alikuwa gerezani arusha kwa kesi. Akanitaka niiuze gari na nyumba fasta kabla havijakamatwa. Akaniambia nsiwe narudi rudi kukaa muda mrefu pale nyumbani mpaka atakapoachiwa mama nlikuwa form three-Nairobi, four days baadae niliuza gari, nyumba ikagoma kwa kuwa collateral ya mkopo alichukua mama benki. Nikawaamuru Madogo tuondoke tuwahi kurudi shuleni mama anatusubiri Nairobi.

With time hata mwaka haukuisha hela ikakata nikashawishiwa na a classmate Elizabeth-Mkenya mkamba wa Nairobi
tukaanza kujiuza likizo and life ikasonga na nikawa nawalipia wadogo na mimi ada. Nilijiuza mpaka nikasoma chuo na wadogo wakaingia sekondari thank god mama aliachiwa baada ya mitatu miaka kuna wakati tuligombana sana na wadogo zangu wakiamini mama amenipa access ya akaunti zake za benki na natumia hela nyingi kivyangu huku nikiwapa wao kidogo.

Tatizo: Kwa sasa tupo Arusha nina boyfriend mmasai na kila wakati wa semina kanisani mchungaji husema ni bora wapenzi wachumba muwekane wazi kuhusu maisha yenu hata ya nyuma ili isiwagharimu baadae. Naogopa sana kumwambia jamaa kuwa niliwahi kuwa nilikuwa changudoa.

NOTE:KUNA WADADA WAKENYA AMBAO NLIJIUZA NAO WAMEHAMIA ARUSHA NA HAWANA KAZI ZA MAANA, nlilazimika kuhama kanisa ambalo mimi nlikuwa kiongozi wa vijana baada ya baadhi yao kuanza kusali pale kanisani uamuzi ambao BF na mchungaji wanaushangaa mpaka leo.Kwa sasa nasali kikanisa kidogo njee ya mji kwa kuwaogopa washirika uchangudoa wenzangu wa NAIROBI...nateseka sana kuwaza

Ufafanuzi:Natumiwa PM nyingi zikitaka ufafanuzi, hii stori ni 5% ya maisha yangu na inaeleza namna nlivyoanza na kuacha uchangudoa tu.Stori haielezi maisha ya mama wala mjomba, namna walivyokamatwa na nini hasa walichokuwa wakifanya,namna mama alivyotoroka na baadae kukamatwa.HAIELEZI namna tulivyosafiri toka ARUSHA-TANGA-NAKURU KENYA

😕😕umepima afya yako?kama bado kapime ndo umpe ukweli huyo!
 
kaka niliacha uchangudoa soon mama alipotoka jela
naona umedhamiria kuniumiza

Mabinti wengi sasa mnaokoka ili kuolewa, kujifanya kwamba mmebadilika kumbe mnataka tu kuolewa, mkiolewa tu mnarudia fani yenu,ndio maana nikasema kunguru huwa hafugiki, ipo siku atarudi porini.
 
Mimi naona mtu unaangalia na situation binti hajaingia ndoani so ni muhimu aweke vitu sawa angelikuwa keshaolewa ningeconsider ushauri mwengine.Ni raha sana mtu akikukubali ka ulivyo!
Ukweli ni ukweli tu gorgeous one, never ever try to hide it or lie, no matter the situation. Just tell the truth and you will be free.
 
Usitumie neno changudoa, mweleze tu kwamba ulijiuza. Kujiita changudoa wakati sio so sahihi.

Pili, Siku moja muombe kila mmoja wenu amwelezee mwenzie mambo ya mapenzi. enzi hizooo wewe utampima kama anayake. akisema hana. Kauka. akikupa za x wake na we mmegee za Maisha yaliyopelekea kutafuta pesa kwa kushawishiwa kugawa K.

Katy usijidhalilishe kwa binadam weznzio. hidhalilishe kutubu moyoni kwa Mungu pekee. Maneno ya kujiuza kwako yakisambazwa hayana athar maadam we kW Sasa ni MTU wa mungu
alishanieleza past zake na nyingine nlikuwa nazijua kwa kuwa tuko mtaa mmoja na nilibahatika kufanya kazi na rafiki wa x-wake (aliyeamua kuolewa na MANGI tajiri) ambaye alinidakulia mengi ya jamaa na sikuona chafu

kwa kifupi hana historia ya ukakasi ila ni mimi niliyemshawishi akaokoka so sjui huu wokovu wake ni wa kweli kiasi gani au ni wokovu wa kunipenda.
tulipoanza uhusiano hatukuwa tumeokaoka
 
Marytina ni mke kwa mwanaume anaejitambua. Kwa post zake hata BF wake akimtema ni mke wa kutulia nyumbani kazima atadakwa tu

wasiwasi marytina ni ww mbona umekaa kimama huruma. Naona wadau washaanza kuomba contract.

shaka ya mwanaume yyt kwako ni kwamba unahatar ya kugongwa tena. K yako ishazoea madushe. he itaweza kutulia kweli??

Ila kwa MTU ambae anapenda mwanamke atakaetulia nae wakuu ni Marytina baaaaaaas
eti wewe unaweza kumuoa x-changudoa au hata kumpigia chepuo mshikaji wake amuoe mwanamke kama mimi?
 
Hilo sio jambo la kushangaza issue kuubwa ni Neno au jina changudoa maana halina heshma katika jamii naomba unitafute kwa namba hii tuongee nikushauri zaidi 0788322596
ukiona sijakujibu ujue naficha jambo flani nsije kuumbuka kupitia JF
 
kwahiyo sasa hivi dada Marytina umeshaacha kabisa uchangudoa, naskia jasiri haachi asili? na kadri mwanamke anavyofanya ngono mara nyingi ndoyo anahitaji zaidi, kwako wewe hilo likojee?
Ni kweli jasiri haachi asili....lakini kumbuka changudoa hafanyi kwa hamu zake bali kwa shida zake
unatakiwa uweze kutofautisha kati ya MALAYA NA CHANGUDOA
CHANGUDOA hajisikii raha hata chembe anapokuwa akifanya ngono....tena kukuelekeza ni kwamba hata changu alale na wanaume ishirini kwa usiku mmoja bado anakuwa na hamu ya kusex na mtu ampendaye iwe mchumba au BF
 
tatizo nimekuwa mtu wa dini na sipendi kuendelea kuwa muongo kama mama alivyonidanganya
pia kuna waschana wawili wakenya wanaishi hapa ARUSHA na tulifahamiana KENYA kwenye hotel

Hongera sana kwa ulichokieleza, mm naona bora umuweke waz kwa kila kitu coz ukifcha na ikaja julikana utaonekana km bado tabia hyo unayo. Hakuna jambo la siri hapa duniani, so jisalimishe mwenyewe, na ukisema ukwel wako utakuwa umetua mzigo mkubwa moyoni mwako kuliko kukaa na kitu moyoni halafu kinakuumiza moyo. Nakutakia utekelezaji mwema.
 
We mwanamke mbona hutaki kujibu kama ulipima?!!
 
Unafanya vizuri sana kutumia JF kama nguzo yako ya kujiondolea na kujipunguzia mazito yaliyo moyoni.Ingelikuwa ni vyema pia kama ungepata nafasi ya kuonana na mwanasaikolojia kwasababu upo on denial.Huwezi kubadili yaliyotokea kwenye maisha yako unapaswa ujifunze kukubali hayo ni matokeo na hayakubadilishi utu wako,maisha wakati mwengine yanafanya watu wanafanya mambo ya ajabu sana.Pole kwa yote lkn usiache kuwa mkweli.
thanks so much
nlichogundua wadada JF wameridhia niseme ukweli ila wakaka hawataki kabisa niseme sasa hapa ipo kazi....
 
We mwanamke mbona hutaki kujibu kama ulipima?!!

Hilo nalo ni wazo aisee maana unaweza kuta kajikwaa, ko bora upime kwanza Marytina, ukikuta uko salama, weka out akikacha nawe mkache tafuta mwingine mbona wapo wengi xn wanafuta
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli jasiri haachi asili....lakini kumbuka changudoa hafanyi kwa hamu zake bali kwa shida zake
unatakiwa uweze kutofautisha kati ya MALAYA NA CHANGUDOA
CHANGUDOA hajisikii raha hata chembe anapokuwa akifanya ngono....tena kukuelekeza ni kwamba hata changu alale na wanaume ishirini kwa usiku mmoja bado anakuwa na hamu ya kusex na mtu ampendaye iwe mchumba au BF

nashukuru kwa ufafanuzi mkuu, si unajua maneno ya kuskia!...sasa unapopata firsthand info kama hivi unaelimika. vipi kuhusu k kuwa used sana, yaani inalegea sababu inatumika sana...kuna ukweli wowote?
 
My advise, think it through before you make any stupid decisions that may take u back to that devilish way o hustle Ila this tyme itakua unafanya kuondoa stress!
Maana kosa si kosa if it was for the right reason! But this kujianika might cost u big time!
Nahc nimeshawahi kukuona kiambuu!
 
Marytina bora ukae kimya ni ngumu sana kwa sis wanaume kuukubali ukweli kama huo, kama baadae akijua itakuwepo namna ya kuelezea lakini sio sasa hivi.
mmh ina maana simfai kuwa mkee wa mwanaume yeyote ikiwa ukweli utajulikana????
 
MNANIUMIZA NYIE?? hivi mnataka niolewa na nyani????? nimeshawaambia uchangudoa nimeacha

hapana dada, lengo siyo kukuumiza, nilikuwa namjibu huyo jamaa niliemquote, kiutani tu, tunajua wewe ni mchumba wa mtu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom