Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
Ulikuwa unachaji shi'ngapi?
kuisoma tu hii post yako natetemeka, usiku kama tumechelewa kurud akiwaona machangudoa husikitika sana na hufokea mpaka usukani wa gari anayoendesha.......roho huniuma sana
Umepima? Na matokeo je
...baada ya mama yako kujua ulkuwa unajiuza alikuchukuliaje,shujaa,alikupa pole...au nini.binafsi nimekupenda ww ni jasiri na naamini umetubu,kumwambi au kutomwambia inategemea kichwa cha mumeo kikoje
thanksPole mdada kama ni kweli lakini usikurupuke kumwambia dada yangu sie wanaume tunajijua hakuna kitu kinauma kama mwenzangu aniambie alishatembea nafulani au alishafanya mara kadhaa inaumaje! We lia na Mungu wako akusamehe maana hapo uliemkosea ni Mungu sie huyo mchumba wako kwani haukuwai kuwa nae kabla ya hayo useme ulimsaliti hivyo toba yako ni kwa Mungu mengineyo yawe ni kama ushuhuda tuu. Kingine jisamehe kwanza maana unajihukumu pia sali sana na tumaini liwa kwa Kristo tu kuhama kanisa haita kuponya dada yangu .
Kanisa litadhalilika kivipi ili hali hilo jambo lilitoke kabla hujampokea yesu???? KIFUPI KAMA UMEOKOKA na umepokea sara ya toba ya kweli na huendelei na hiyo tabia tunasema yote yaliisha pale msalabani, sasa wewe ulipokea sara ya toba gani???????
Anyway mwambie atazidisha sana upendo hutajuta hakika, maana mie mgeni wakupenda japo nimetoa ushauri.
i am not yet dicided kumwambia au kukausha? kurudi kanisani pa awali au kuendelea kusali njee ya mji?Utupe mrejesho, manake kama maushauri tu umeyapata.
Kama hutajali tunaomba utumwagie kisa kifupi lakini cha kusisimua ulichokumbana nacho enzi ya uchangu.
nimekukumbuka pia!
watu wanaogopa kueleza stori zao mbaya hapa jkwaani
nipo tofauti nikieleza hapa jukwaani najihisi nafuu flani na kujiona wa kawaida
najuta kwa nini nlikubali kuwa kiongozi pale kanisani....unajua ukiwa kiongozi inabidi uwe msafi na uonekane kuwa msafi.Moja ya sifa ya kanisa lolote ni mtu kutubu na kuamua kufuata yaliyo mema ama sahihi machoni pa Mungu. Hakuna aibu katika kutubu. Aibu unamwonea binadamu mwenzio au Mungu? Wanatubu wauwaji itakuwa wewe?
Umeeungama intosha oaneni dada yangu
Aiseee hiyo ni ngumu kumesa
Niko Nairobi SAA Hii,ingawa naishi dar'niko kikazi tu kwa muda;kwa jinsi wadada wanavyouza k hapa'nakushari usimwambie mumeo,maana !?
Covering the truth seems like the name of the game for most of us, ila viongozi wa uma wa wanasiasa wakigoma kutangaza mali zao na walivyozipata tunalalamika. You may not see it, but this is how the whole society is being poisoned.
Tell the truth and face the consequences, then start afresh from there. Hizi habari za kujaribu kuficha ukweli zinazaa majanga tu badae, coz the truth will always come out, always.
hi, i miss u alot NNUlikuwa unachaji shi'ngapi?
mmh nmaniliza jaman!!!Marytina;
Nasema na weye kama mtaalam wa mambo hayo unayo yapitia kwa sasa. Umeandika humu jf kuomba msaada hivyo huu ndo msaada wangu;
1. Hakuna kitu kibaya kama yule umpendaye akija funuliwa kwako thru another source. (Third party)
2. Umpendaye hawezi kuwa mwovu tena kama umemjua na akikuhakikishia kuwa kabadilika (II Cor. 5 : 16 Wherefore hence forthknow we no man after the flesh,......
3. Umesema weye ni mtu wa Kanisani, unatengeneza mambo yako na Mungu, huwezi kutengeneza mambo na Mungu usiye muona, halafu umfiche ambaye anakuja kuwa wako wa milele. Hapana, tengeneza naye kwanza.
UAMUZI:
Mwambiye taratibu kabisa, bila hofu yeyote. Kama ni wako atakupokea tu. Hukuenda kujiuza kwa sababu ya tamaa zako, usingelimalizia shule kwa njia nyingine. Mbona sisi tumekuelewa, Ukimwomba Mungu atakutetea. Bora ajue akukatae mapema kabla ya ndoa kuliko kuja kukukataa kwenye ndoa.
Kama unasukumwa na dhamiri ya dhati mwambie lakini tumia hekima kubwa au waweza ukamueleza kama unatoa ushuhuda fulani juu ya maisha yako. Huku ukionesha kulia machozi ya mamba
huoni wakenya wakisema ntaishi bila nimpendaye maisha yangu yote???nimechoka sana mpaka ubongo naitaji mwanaume wa kunisaidia na huyu MMASAI ni right person...akiniacha nianze tena kujiwazia, kujiongoza i cant that...
na vipi pale kanisani nlipokuwa kiongozi wa vijana wakijajua mimi ni x-changudoa???ntaweka wapi uso wangu