Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,557
- 44,332
Kifupi ni kua hawaridhiki.Wengi wanaoaga ni attention seekers
Pamoja na kua ni viumbe pekee wanaopewa attention 24/7 hapa jf, ila bado wana vioja vya kuaga na kurudi ghafla.
Bila shaka kuna target zao, kuna wamba wanawaelewa ila kuwaambia hawawezi, wanatumia mbinu za kijasusi zilizopitwa na wakati wakidhani kila Me karne hii anababaika na hizo propaganda.
Mkuu mshauriane huko kwenye vikao vyenu, kama hata wewe unanikubali Vishu Mtata , agent makini 007(daboziroseven) niambie, pm iko wazi.