The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,201
- 103,023
Bora hata usingerudi,
Huna faida yeyote ile humu zaidi ya ujinga ujinga tu.
Huna faida yeyote ile humu zaidi ya ujinga ujinga tu.
😍mwmbie asntAnakusalimia Mwachiluwi
Thank you daddy 😘Welcome baby
Nasubir talaka mahakama 😔Haujabahatika kuachika huko kwenye kandoa kako ili nikuoe dada
ameleta ka jokes kidogoBora hata usingerudi,
Huna faida yeyote ile humu zaidi ya ujinga ujinga tu.
Ndoa dear🥲Ulikua wap kipindi chote icho baby
Heee!!😄Karibu sana jameni humu kumebadilika sana imagine Mgerasi Maghayo I'd yake imebadilika Jina inaitwa
Busu la Kenge Daaa kweli ukubwa jalala!
😁😁
Thank you love ❤️Karibu sana
Miaka miwili yote inamaana mzee baba hapendi uingie mitandaoni?.... Haya, karibu b🤰🤱
Ulidhani hawaachani, karibu tuondoe stress.Nimewa miss humu ndani!! 😘❤️
Nimekuwa nje ya jf 2 yrs🥲
Uzi tayari!!😉
Mbombo ngafu2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Ila wajumbe 😄Baada ya majina ya Ccm kutangazwa nimeona ujio wa I'd za zamani kurudi kwa kasi
Nakupenda sana babe😘Utapeli mtupu
Mjumbe 😉Who are you??
Kwa kwelComment tayari.
Nikiolewa tena ntaondoka 😘Na baada ya wiki utaondoka tena
😄sio mm labda Ex wangu moderator jomoni alikuwa anaitumia2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Shogaa ang we naye mbea mbea khaah!! 😉😄2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
Usisikitike dear i miss u 😘Inasikitisha sana