Nimewa miss humu ndani

Nimewa miss humu ndani

2yrs kwa ID ipi?

February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo


View attachment 3424411
"Kwa id hii hii"
Achana huyu kuna wale wa kuaga, wale ndio huwa nawashangaa sana.

Mtu anaaga ati hatatumia jf kwa kipindi fulani ila kabla hicho kipindi hakijaisha anaibuka tena 😂😂, kina dada mnapenda sana attention.
 
Watu smart utawajua tu, ikiwa miandiko tu tunaijua ya nani tutashindwaje kujua IDs zifananazo?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Nadhani JF ipewe kitengo Usalama wa Taifa na membars tulipwe na sirikale ya CCM humu tupo ma Spy wa Mossad,CIA ,KBG nk na hatuna posho nashauri kwa niaba ya wote tutangaze Jamhuri ya JF!
😁😁
 
Back
Top Bottom