Tuelimishane kidogo kuhusu wadukuzi (Hackers)

Tuelimishane kidogo kuhusu wadukuzi (Hackers)

nodetz

Senior Member
Joined
May 4, 2024
Posts
173
Reaction score
156
Habari wana jm.

Juzi katika pitapita zangu uko youtube nilikutana na video moja ya jaamaa anaitwa () ni mbongo mwenzetu alikua akielezea zofauti ya IT na cybersecurity ase niliumia sana🄲🄲.
Kilicho niumiza zaidi ni upande wa comment ase pale ndo niligundua watu wanapenda sana kujua udukuzi ni nini. Ila sasa sijui shida ni lugha au nini maana kuna taarifa nyingi sana zinazoelezea ayo mambo kwa usahihi japo si kwa kiswahili.

Ombi langu kwa wana jf
Najua humu kuna watu wanauelewa mzuri kuhusu ayo mambo basi wajitokeze kutuandikia uzi unao elezea ili kidogo watutoe tongotongo kuhusu hacking.
 
Katika TEHAMA udukuzi ni kitendo cha kuingilia mifumo au miundombinu ya kidigitali ili kutekeleza lengo fulani.

Udukuzi unaweza kufanyika ili kujaribu ubora wa usalama wa mfumo(penetration testing) au kufanya uhalifu wenye kusudio baya kama kusitisha huduma, kudhalilisha, kujipatia fedha, kuiba taarifa n.k

Udukuzi ni taaluma inayohusisha mambo mengi sana.
 
Asante ndugu nataman tungepata watu wengi kama ww hasa kwenye upande wa kurinda taarifa zetu mtandaoni maana jamii yetu haina elimu kabisa kuhusu usalama wa taarifa zao online
 
Back
Top Bottom