Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Fungate bado, ila elewa quarantine bob😃😃😃 Ukimaanisha Fungate ama??
Fungate bado, ila elewa quarantine bob😃😃😃 Ukimaanisha Fungate ama??
Ni wewe tu familiya hujataka kuniacha kando, hii mbinu bila D2 mtu hawezi elewa 😂Razorblade naye ata jisogeza kusikiliza yasiyo muhusu,😂
Sema kasongo 😂Nakuja speed ya Ngiri mkia juu😃😃
Kudadadeki 😂Ni wewe tu familiya hujataka kuniacha kando, hii mbinu bila D2 mtu hawezi elewa 😂
Oya we acha tu nawahofia Gil na NEG tu, ila hawa wote nitawawekea Amrabat halafu nampa Deep line 😂Kijana ana mechi ngumu sana leo yupo training 😃😃
Familiya haitengani hata sehemu ambayo hatuhitajiki tutaitana kwa code 😂Kudadadeki 😂
Njoo geto kabisaNimewa miss humu ndani!! 😘❤️
Nimekuwa nje ya jf 2 yrs🥲
Uzi tayari!!😉
Nimepasahau sipakumbukiNjoo geto kabisa
Amen
Wewe hapo...Amen
kila la kheri kwake.
Wee umemmisi nani kati ya wale 🤨🤨😁!
HallelujahWewe hapo...
Unakabia kwa juu sana mkuu.2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
😁😁😁😁😁😁😁😁😂!Unakabia kwa juu sana mkuu.
Huendi mbinguni Jo 😂😂😂! Sio kwa ufukuzi huo hahaha!2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
View attachment 3424411
mnywaani kama mnywaniii😁😁😁😁😁😁😁😁😂!
Nimecheka sana mnywani! Wakongwe hatutaki uongo hasa wa kitoto hivi!mnywaani kama mnywaniii
Wakongwe wa jf mnakabia kwa juu sana
Huku Manyanza amekua Tumbili in townKaribu sana jameni humu kumebadilika sana imagine Mgerasi Maghayo I'd yake imebadilika Jina inaitwa
Busu la Kenge Daaa kweli ukubwa jalala!
😁😁
Tuhadithie blohHuku Manyanza amekua Tumbili in town