Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,755
Uko alipo kila baada ya miezi 3 ni mwaka mpya
Aseee kwa uzi huu for real baada ya miezi mitatu ni mwaka
Uko alipo kila baada ya miezi 3 ni mwaka mpya
Unawamiss wasiokutambua wala kukumiss, haya ni maajabuNimewa miss humu ndani!! 😘❤️
Nimekuwa nje ya jf 2 yrs🥲
Uzi tayari!!😉
Unaweza kukuta hata hizo ID zinazomkaribisha na kujifanya zilim miss ni za kwake pia,
Yani anajikaribisha mwenyewe.
😀😀
Ni ww ndio unijui kaa kwa tulia spupid!!!👌Unawamiss wasiokutambua wala kukumiss, haya ni maajabu
Shogaa ang we naye mbea mbea khaah!! 😉😄
Nakupenda mwaya 😘Baby umeniquote lakini hujaandika kitu
😁lakin si unaona uzi upo jukwaa gan??Siku nyingine usituongopee vitu vya wazi namna hii
Nakupenda pia baby,... Kifo tu ndio kitatutenganisha 😘Nakupenda mwaya 😘
Ndiyo ivyoAseee kwa uzi huu for real baada ya miezi mitatu ni mwaka
Jukwaa la uongo baada ya kuwa busted 😁😁lakin si unaona uzi upo jukwaa gan??
Nipende tuNakupenda pia baby,... Kifo tu ndio kitatutenganisha 😘
UbhutunguluYa nyoko
Unachokoza usijokimudu bora uitulize tu kabla haijakunyeshea.Ni ww ndio unijui kaa kwa tulia spupid!!!👌
Cha ukochokozi 😁😁😁Twinnie na wewe si umeona tunaongopewa
Lol... JF FBI on the one and two😆😆2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
Kwamba!!! embu inyeshe tuone panapo vuja 👌usitishie watu na upwiru wako kwendraaaa😏Unachokoza usijokimudu bora uitulize tu kabla haijakunyeshea.
Usiletee watu stress zako hapa
IQ yake ni ndefuuu 😁Cha ukochokozi 😁😁😁
But I really like your brain
😁 mtu wa system huyu walaa 🙌Lol... JF FBI on the one and two😆😆