Baby Nimah
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 758
- 907
- Thread starter
- #61
😄watu ni wafukunyuku khaa!Kwenye huu mji ukiwa muongo hakikisha kumbukumbu zipo😅
😄watu ni wafukunyuku khaa!Kwenye huu mji ukiwa muongo hakikisha kumbukumbu zipo😅
Usiwe serious sana dearMtu anaongopa jambo kama hili....ajabu!!!
Heee 🙃 sijawahi kuwa na IDs zingine zaid ya hiiOptions za kuwa na fake IDs zaidi ya moja ndizo faida zake hizi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wala hata punguza u-serious mpenzV.A.R tayari ishakabia kwa juu 😹😹
Yani ukute kajisahau kajua katumia id yake aliyoitelekeza kumbe yupo na ile ile..!!
JF ina ma GT vichaa 🤣
Haya ww mwenye faida uko wap?Bora hata usingerudi,
Huna faida yeyote ile humu zaidi ya ujinga ujinga tu.
😘we unaakiliameleta ka jokes kidogo
Ya nyokoMbombo ngafu
Thank u dear😍Ooh! Welcome
Safi kabisa ,taja mahakama yako ilipo ninazo connection za huko waharakishe jambo tuoane tu maana sasa huwezi kuwa unateseka na limtu libaya na mimi nipo mpenziNasubir talaka mahakama 😔
V.A.R tayari ishakabia kwa juu 😹😹
Yani ukute kajisahau kajua katumia id yake aliyoitelekeza kumbe yupo na ile ile..!!
JF ina ma GT vichaa 🤣
Mahakama ianyosikiliza kesi ya lisuSafi kabisa ,taja mahakama yako ilipo ninazo connection za huko waharakishe jambo tuoane tu maana sasa huwezi kuwa unateseka na limtu libaya na mimi nipo mpenzi
"Kwa id hii hii"
Achana huyu kuna wale wa kuaga, wale ndio huwa nawashangaa sana.
Mtu anaaga ati hatatumia jf kwa kipindi fulani ila kabla hicho kipindi hakijaisha anaibuka tena 😂😂, kina dada mnapenda sana attention.
We ni mshenzi 😄V.A.R done! 😃
Uchokozi 😂😂
TeknolojiaaaaIle meme inayosema TEKINOLOGIA TEKINOLOGIA naikubali sana!
Wa kujitegemea 😁Mtafiti
Kesho nitakuwa hapo Dar es salaam hivyo weka namba yako PM nikitua hapo tukamuone hakimu aharakishe jambo hilo aiseeMahakama ianyosikiliza kesi ya lisu
Hahahaa. Pacha nakugawa. 😂😂
TayarKesho nitakuwa hapo Dar es salaam hivyo weka namba yako PM nikitua hapo tukamuone hakimu aharakishe jambo hilo aisee