Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja.
mke wangu ni mzur na nimeish nae kwa aman. nimekuwa msaada kwa familia yake. nimewasaidia sana ndugu zake kwa kuwapa mitaji na wengine kuwasomesha mpaka elimu ya chuo.
tatizo lilianza mwaka jana mwez wa nane. mke wangu alisafiri kuanzia mwez wa sita mwishon na kurejea mwezi wa nane mwanzon. alipofika tulifanya mapenz kama ilivo ada kwa wanandoa. baada ya wiki mbili aliniambia kuwa anahis ana mimba. nikafurah as nilikuwa nahitaji mtoto wa pili.
hivyo nilimshauri aende akapime ili tuwe na uhakika tuanze kufanya maandalizi. baada ya kipimo kweli alionyesha ni mjamzito. nikafurahi na kuanza kufanya mipango ya kuweka akiba mahususi kwa ajili ya mambo ya ujauzito na hatimae mtoto.
baada ya miez mitatu nikamshaur aanze kuhudhuria clinic. akaanza na mambo yakaendelea vizur huku nikiendelea kulea mimba.
baada ya miezi kama sita hiv nikaamua kuchukua kad ya clinik ili nione maendeleo ya mke wangu na pia nijue kama kuna taarifa zozote hatarish kwa vile nilikuwa cjaiangalia tangu aanze clinic.
nilichokiona uko ndicho kilichonichanganya. kimenivuruga mpaka cjui nichukue uamuz gan. nilikuta taarifa kuwa mke wangu ana mimba iliyotungwa mwez wa sita na anategemea kujifungua mwez wa tatu mwaka huu.. niimuita na kumuuliza. alinijibu kuwa labda ma ness wamekosea. nilimwambia kuwa lazima nijue. nenda kapige utra sound. majibu ya utra sound yalionyesha kuwa kwel atajifungua mwez wa tatu.
alipima tena sehemu nyingine na majibu yalionyesha hivo hivo. nilitaman kumuua lakin niliamua kujipa moyo as mi ni mwanaume wa ukwel. yeye pia alisisitiza kuwa vipimo vimekosea ye anaamin kuwa alipata mimba mwez wa nane na atajifungua mwez wa tano na c vinginevo. akasisitiza kuwa hajazin. nikaamua kusubiri. ila nikamuahid kuwa nikigundua kuwa mimba co yangu ndo mwisho wa ndoa yetu. nikafanya utafit na kuongea na baadhi ya madoctors wote wanasisitiza kuwa akijifungua ndo ntajua ukwel. lakin pia kuna issue ya 2 wiki plus or minus. najua vizur as mi ni msomi na ni mzazi.
sasa tayar alishajifungua na ni mwez ule ule wa tatu na doctor anadai alijifungua on time. hakuchelewa wala kuwah. which means alipata mimba mwez wa sita wakat hayupo na mm. so kuna uwezekano mtoto sio wangu. lakin yeye ana insist kuwa hajawah kuzin na mtoto ni wangu. amesema hivo mbele ya mchungaji. sasa nimebaki njia panda. nimkubali kuwa mtoto wangu au niende nikapime dna. au nimfukuze. nivunje hii ndoa. nimechanganyikiwa. sijui la kufanya. yaan mpaka kazi zangu zote zinaharibika. nimevurugwa jaman naomben ushaur. nifanyeje.
wanawake wote malaya,hakuna cha ndoa wala cha kanisani woteeeee malaya tu,bisha?
 
Mh !, mambo mengine ni mazito sana inatakiwa akili na busara zaidi itumike la sivyo unaweza kujikuta wewe ndiyo unaathirika. Mkuu kwanza nikupongeze kwa ujasiri ulionao mpka muda huu bado umevumilia wakati asilimia 90 kuna uwezekano mtoto sio wako. Unaonesha wewe umeiva kiakili yaani elimu yako inakusaidia sana kutatua matatizo yako. Nakushauri hili suala nenda nalo taratibu ifike mahala uchukue uamuzi wenye busara pande zote 2, hii inshu haipo kwako tu limekuwa ni janga la kitaifa. Ni bora hata wewe umefanya kugundua mapema sana kuliko wengine humu wanakwambia chukua panga au fukuza huyo mwanamke kumbe wao wana watoto wengi ambao sio wao kabisa
 
Mkuu wasiwasi ni hali ya kukosa imani au uhakika au bayana juu ya jambo, hali, tukio, jukumu linalokukabili...

Kutokuwa na uhakika wa kutekeleza wajibu ulio mbele yako huzua wasiwasi...

Machale au shuku ni hisia ya ziada ambayo humjia mtu pasipo kudhamiria yenye kumtambulisha hatari au tukio lisilo la kawaida lenye madhara au lisilo na madhara lililopo mbele yake...

Mtu anaweza akawa na wasiwasi lakini akakosa kuwa na machale...

Pia mtu huweza kupatwa na wasiwasi na machale pia, mtu huyu huitwa shujaa...

Unaweza ukapuuzia wasiwasi na kusiwe na madhara lakini huwezi kupuuzia machale maana kwa kufanya hivyo utakutwa na madhara...

Kwa namna ulivyoelezea matukio haya mawili, tukio la kwanza moja kwa moja linaangukia katika nadharia ya machale na hilo la pili kwa kuwa hujaweka bayana madhara yoyote basi linaweza likawa ni wasiwasi tu wa wahusika au machale pia...

Safi sana mkuu.... Basi tuko pamoja hapo ujue mwanausalama yoyote lazma awe na wasiwasi ndio maana huwa anakuwa hana iman na mtu yeyote hata wao kwa wao hawaaminian..... Huwa wanakuwa hii kauli Suspicious and consicineous ..... Hasa awapo kazn
 
Unamuita mwenzio Kitasa sasa wewe sijui uitweje. Mke kasafiri June Mwishoni.

Huyo unaemuita Kitasa kauliza khs May na June kabla mke hajaondoka.

Achananae mkuu! Hajui aliongealo.
Watu km hawa mara nyingi ni kuwapotezea tu. Nashukuru kwa kulielewa hilo, sababu hajatuweka wazi kwa hicho kipindi. Je alikutana na mkewe au hawakukutana kimwili!?
 
Labda una matatizo ya uzazi, mwanamke amegundua si ajabu hata huyo wa kwanza si wa kwako inawezekana aliemzalisha wa kwanza ndio kamzalisha na huyu wa pili, ila karata wamezichanga vibaya, kwa kuwa alisafiri ila angekuwa yupo nawe usingeuliza hili jambo. Pima DNA watoto wote, utajua la kufanya baada ya hapo. Si kila baba ndie mwnye mtoto.
 
Majibu ya madoctor 5 hayawezi kuwa ya uongo, sample mad dr 10, hata mikoa tofauti, nenda hata online, na umshirikishe, wote wakisema mimba ilitungwa mda tofauti, muite mwambie akwambie hiyo mimba ni ya nani, akigoma mwache, akikubali akamtaja utaamua mwenyewe, mimi ningemtimua.

ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja.
mke wangu ni mzur na nimeish nae kwa aman. nimekuwa msaada kwa familia yake. nimewasaidia sana ndugu zake kwa kuwapa mitaji na wengine kuwasomesha mpaka elimu ya chuo.
tatizo lilianza mwaka jana mwez wa nane. mke wangu alisafiri kuanzia mwez wa sita mwishon na kurejea mwezi wa nane mwanzon. alipofika tulifanya mapenz kama ilivo ada kwa wanandoa. baada ya wiki mbili aliniambia kuwa anahis ana mimba. nikafurah as nilikuwa nahitaji mtoto wa pili.
hivyo nilimshauri aende akapime ili tuwe na uhakika tuanze kufanya maandalizi. baada ya kipimo kweli alionyesha ni mjamzito. nikafurahi na kuanza kufanya mipango ya kuweka akiba mahususi kwa ajili ya mambo ya ujauzito na hatimae mtoto.
baada ya miez mitatu nikamshaur aanze kuhudhuria clinic. akaanza na mambo yakaendelea vizur huku nikiendelea kulea mimba.
baada ya miezi kama sita hiv nikaamua kuchukua kad ya clinik ili nione maendeleo ya mke wangu na pia nijue kama kuna taarifa zozote hatarish kwa vile nilikuwa cjaiangalia tangu aanze clinic.
nilichokiona uko ndicho kilichonichanganya. kimenivuruga mpaka cjui nichukue uamuz gan. nilikuta taarifa kuwa mke wangu ana mimba iliyotungwa mwez wa sita na anategemea kujifungua mwez wa tatu mwaka huu.. niimuita na kumuuliza. alinijibu kuwa labda ma ness wamekosea. nilimwambia kuwa lazima nijue. nenda kapige utra sound. majibu ya utra sound yalionyesha kuwa kwel atajifungua mwez wa tatu.
alipima tena sehemu nyingine na majibu yalionyesha hivo hivo. nilitaman kumuua lakin niliamua kujipa moyo as mi ni mwanaume wa ukwel. yeye pia alisisitiza kuwa vipimo vimekosea ye anaamin kuwa alipata mimba mwez wa nane na atajifungua mwez wa tano na c vinginevo. akasisitiza kuwa hajazin. nikaamua kusubiri. ila nikamuahid kuwa nikigundua kuwa mimba co yangu ndo mwisho wa ndoa yetu. nikafanya utafit na kuongea na baadhi ya madoctors wote wanasisitiza kuwa akijifungua ndo ntajua ukwel. lakin pia kuna issue ya 2 wiki plus or minus. najua vizur as mi ni msomi na ni mzazi.
sasa tayar alishajifungua na ni mwez ule ule wa tatu na doctor anadai alijifungua on time. hakuchelewa wala kuwah. which means alipata mimba mwez wa sita wakat hayupo na mm. so kuna uwezekano mtoto sio wangu. lakin yeye ana insist kuwa hajawah kuzin na mtoto ni wangu. amesema hivo mbele ya mchungaji. sasa nimebaki njia panda. nimkubali kuwa mtoto wangu au niende nikapime dna. au nimfukuze. nivunje hii ndoa. nimechanganyikiwa. sijui la kufanya. yaan mpaka kazi zangu zote zinaharibika. nimevurugwa jaman naomben ushaur. nifanyeje.
 
Bora kuna vya DNA maana kuna uwezekano watoto wengi kukataliwa na baba zao halisi.
 
Mkeo anakudanganya huyo si mtoto wako hakika hata usihangaike kupima DNA ,
 
Inategemea wengine hawastuki kama wajawazito mpaka miezi hata mitano na wengine mpaka siku ya kujifungua ndio wanastuka kama walikuwa wajawazito.

Hakuna alikua haingii period miezi yote hiyo asijuee labda kama alikua ana mimba huku anaingia kwenye siku zake hapo ndio asijue lakin bila ya hivyo kapigwa changa
 
Cha ajabu kipi hapo? Inawezekana aliondoka na ujauzito usiku ule mlioagana.
Ni vile tu hakuona dalili mapema.
Nina hakika DNA itaonesha mtoto ni wako.

Kweli mkuu umeongea sahihi. Humu watu wana.comment bila kufanya analysis.
Mke kasafiri mwezi wa sita mwishoni, na karudi mwezi wa nane mwanzoni. Possibility ni kwamba ka.spend huko mwezi mmoja na siku chache vile. So Kama vipimo vinaonyesha kapata mimba mwezi wa sita itakuwa ni kweli na hapo alikuwa hajasafiri. Kama mlifanya mapenzi mwezi wa sita mtoto ni wako, labdo utudhibitishie kuwa june hamkukutana kimapenzi.

Kaa utulie ukumbuke mara ya mwisho kabla hajasafiri mlikutana lini. Kama mlikutana june mwanzoni au mwinshoni au vyovyote vile hiyo ni damu yako.
Lakini kama huamini na unataka kuondoa wasiwasi kapime DNA, na majibu yatakuumbua wewe

Chimps
 
Usibishe bila ya kuwa na facts. Wanawake wengi wanaweza kuwa wajawazito na huku bado wanapata MP na wale hawaoni dalili zozote za ujauzito ikiwemo kuongezeka uzito. Wengine huchukua miezi kadhaa kabla hawajastukia kama ni wajawazito na wengine hadi siku ya kujifungua hawajui kama ni wajawazito. Kasome post tangu #44 kwenye uzi huu.

Hakuna alikua haingii period miezi yote hiyo asijuee labda kama alikua ana mimba huku anaingia kwenye siku zake hapo ndio asijue lakin bila ya hivyo kapigwa changa
 
Usibishe bila ya kuwa na facts. Wanawake wengi wanaweza kuwa wajawazito na huku bado wanapata MP na wale hawaoni dalili zozote za ujauzito ikiwemo kuongezeka uzito. Wengine huchukua miezi kadhaa kabla hawajawastukia kama ni wajawazito na wengine hadi siku ya kujifungua hawajui kama ni wajawazito. Kasome post tangu #44 kwenye uzi huu.

Yote inawezekana kwelii achunguze tu vizuriii
 
Mkeo anakudanganya huyo si mtoto wako hakika hata usihangaike kupima DNA ,

Umeongea neno! Tangu mwez wa sità mwshon inamaana mwez wa saba hakujigundua chochote? Inamaana hapo angeona au asingeona sku zake
 
Kweli mkuu umeongea sahihi. Humu watu wana.comment bila kufanya analysis.
Mke kasafiri mwezi wa sita mwishoni, na karudi mwezi wa nane mwanzoni. Possibility ni kwamba ka.spend huko mwezi mmoja na siku chache vile. So Kama vipimo vinaonyesha kapata mimba mwezi wa sita itakuwa ni kweli na hapo alikuwa hajasafiri. Kama mlifanya mapenzi mwezi wa sita mtoto ni wako, labdo utudhibitishie kuwa june hamkukutana kimapenzi.

Kaa utulie ukumbuke mara ya mwisho kabla hajasafiri mlikutana lini. Kama mlikutana june mwanzoni au mwinshoni au vyovyote vile hiyo ni damu yako.
Lakini kama huamini na unataka kuondoa wasiwasi kapime DNA, na majibu yatakuumbua wewe

Chimps

Kama alinasa mimba mwez wa sita kwann hakusema maana mwezi wasaba lazma angekosa siku zake..... Amekaa kimya amesubir jamaa amegusa ndio anakuja kumsingizia
 
KUNA TATIZO KUBWA HAPA. Kama mke labda ingekuwa ndio mimba ya kwanza hapo sawa.tungesema ok.lakini toka mwezi wa sita hajakuambia kuwa ana ujauzito.subiri Mtoto akue
Kidogo ufanye utaratibu wa d.n.a uwe na amani wala usikurupuke kuvunja ndoa hapa kuna mawili inaweza kuwa alikusariti au ni Mtoto wako kweli.kwa hali ta kawaida tu ni vigumu kwa mwanamke tena aliyewahi kuzaa asiweze kutambua kama kashika mimba au laah ndani us miezi miwili haiwezekani
 
Kama alinasa mimba mwez wa sita kwann hakusema maana mwezi wasaba lazma angekosa siku zake..... Amekaa kimya amesubir jamaa amegusa ndio anakuja kumsingizia

Ndugu yangu, masuala ya mimba muulize mwanamke aliwahi kuzaa.
Na kwa taarifa yako nenda kliniki za wajawazito, wengi tu na shule zao huwa wanakosea umri wa mimba zao.

Mara nyingi wanaokua sahihi zaidi ni wale ambae walipanga kupata mimba.
 
Back
Top Bottom