Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

chukua nywele au mate kapime DNA biala hata kumshirikisha ni pesa yako tu ... kweli baba wa mtoto anamjua mama
 
Mtoa mada hebu tuambie ,
1.mkeo ulishiliki naye tendo la ndoa ndani ya huo mwezi wa 6 kabla ya kuondoka au la? Maana hili swali hujalijibu hivyo unatuchanganya.
2.mtoto ameshazaliwa,je unafanana naye au la?
3.hiyo miezi karibia 2 ambayo mkeo aliondoka,alienda wapi na hapakuwa mgogoro wowote kati yenu?

Tujibu tafadhari.
vinginevyo utakuwa unajivuruga mwenyewe
 
umebaki njiapanda.., kwani kuna njia mbili hapo???? mbn jibu lipo uchi kabisaaa? we mlee mkeo kama vile ambavyo ungemlea ndugu yako mwenye mtoto mdogo kujiepusha na laana, mtoto akikua kidgo fanya aende zake kwa aman
 
wakati mnachukuana mchungaji alishirikishwa?? au baada ya kuona maji yapo shingoni?, mlifunga ndoa? je,na ww hujawah kuchepuka wakati ukiwa nae? huyo mchungaji mlyeenda kwake na ameshindwa kujua kama ni kweli wa wapi huyo?? unaweza kwenda kupima iyo dna, au ww mpeleke tu kwa mchungaji alye vzr na mungu atamuumbua tu.
By Pastor E.K

ndio. alishirikishwa. ni mchungaji wa kanisa tunaloabudu. ndio yetu ni ya ki kristo na imefungwa kanisan na harusi kubwa kabisa. hakuna kitu ambacho katika ndoa yetu naweza kusema hakiko sawa. maisha yetu ni mazuri. uwezo wa kufanya mapenz ninao tena uliozidi kidogo. mtoto wa kwanza nimefanana nae kila kitu. nina uhakika ni wangu. hii hali ya utulivu na mapenz nilioonyesha kwa mke wangu na familia ya kwao pamoja na ucha mungu wetu. ndivo vinavyoniumiza nikifikiria kuwa mtoto anaweza kuwa sio wangu. kwa sabb zip. kwa mapungufu gan hayo mpaka niletewe mtoto asie wangu.
 
Achana na huyo mwanamke atakupasua kichwa, utashindwa kufanya kazi za kujiongezea kipato 7b yake, utabaki kutembea na panadol anytime, piga chini faster tafuta demu mwingine mkareeeee hadi yy mwenyewe ashangae.
 
Nadhani unachanganya kati ya wasiwasi (worry) na machale (sixth sense)...

Wanausalama hutumia hisia ya sita au machale na sio wasiwasi...

Pia jiulize je akimpima huyo mtoto na kugundua ni wake?

kuna siku nilikuwa alitokea jamaa mmoja alikuja kumwona ndg yake ambaye ni mtuhumiwa aliyewekwa mahabusu yule jamaa aliomba ruhusa kwaaskar aliyekuwwpo pale akaruhusiwa kusalimiana na ndg yake jamaa ile anataka kuanza kuongea na ndg yake akaja askar mwingne akamwita yule jamaa, jamaa alipokuja akamwambia kuna kitu unacho mfukon mwako kitoe jamaa akaanza kusita askar akambana zaidi yule jAmaa likutwa na dawa flan ya unga kumbe alitaka ampe yule mtuhumiwa ili awatie giza askar awatoroke..... Na mwingne huyu kulikuwa na ujio wa kiongoz flan wa kitaifa sasa ktk maandalizi ya ujio huo sku ya ujio ilipofika kuna gari moja ikawa inazunguka maeneo hayo kila ikitaka kufuatiliwa ikawa inakwepa,wale jamaa ikabidi wabadilishe makao ya kiongoz huyo ila kwasiri.. . sasa ktk hayo matukio mawili ipi ni machale na ipi ni wasi wasi?
 
kuna siku nilikuwa mahakaman alitokea jamaa mmoja alikuja kumwona ndg yake ambaye ni mtuhumiwa aliyewekwa mahabusu yule jamaa aliomba ruhusa kwaaskar aliyekuwwpo pale akaruhusiwa kusalimiana na ndg yake jamaa ile anataka kuanza kuongea na ndg yake akaja askar mwingne akamwita yule jamaa, jamaa alipokuja akamwambia kuna kitu unacho mfukon mwako kitoe jamaa akaanza kusita askar akambana zaidi yule jAmaa likutwa na dawa flan ya unga kumbe alitaka ampe yule mtuhumiwa ili awatie giza askar awatoroke..... Na mwingne huyu kulikuwa na ujio wa kiongoz flan wa kitaifa sasa ktk maandalizi ya ujio huo sku ya ujio ilipofika kuna gari moja ikawa inazunguka maeneo hayo kila ikitaka kufuatiliwa ikawa inakwepa,wale jamaa ikabidi wabadilishe makao ya kiongoz huyo ila kwasiri.. . sasa ktk hayo matukio mawili ipi ni machale na ipi ni wasi wasi?
 
Sasa si ukapime DNA tu, au unaogopa kufanya maamuzi magumu baada ya majibu?
 
ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja.
mke wangu ni mzur na nimeish nae kwa aman. nimekuwa msaada kwa familia yake. nimewasaidia sana ndugu zake kwa kuwapa mitaji na wengine kuwasomesha mpaka elimu ya chuo.
tatizo lilianza mwaka jana mwez wa nane. mke wangu alisafiri kuanzia mwez wa sita mwishon na kurejea mwezi wa nane mwanzon. alipofika tulifanya mapenz kama ilivo ada kwa wanandoa. baada ya wiki mbili aliniambia kuwa anahis ana mimba. nikafurah as nilikuwa nahitaji mtoto wa pili.
hivyo nilimshauri aende akapime ili tuwe na uhakika tuanze kufanya maandalizi. baada ya kipimo kweli alionyesha ni mjamzito. nikafurahi na kuanza kufanya mipango ya kuweka akiba mahususi kwa ajili ya mambo ya ujauzito na hatimae mtoto.
baada ya miez mitatu nikamshaur aanze kuhudhuria clinic. akaanza na mambo yakaendelea vizur huku nikiendelea kulea mimba.
baada ya miezi kama sita hiv nikaamua kuchukua kad ya clinik ili nione maendeleo ya mke wangu na pia nijue kama kuna taarifa zozote hatarish kwa vile nilikuwa cjaiangalia tangu aanze clinic.
nilichokiona uko ndicho kilichonichanganya. kimenivuruga mpaka cjui nichukue uamuz gan. nilikuta taarifa kuwa mke wangu ana mimba iliyotungwa mwez wa sita na anategemea kujifungua mwez wa tatu mwaka huu.. niimuita na kumuuliza. alinijibu kuwa labda ma ness wamekosea. nilimwambia kuwa lazima nijue. nenda kapige utra sound. majibu ya utra sound yalionyesha kuwa kwel atajifungua mwez wa tatu.
alipima tena sehemu nyingine na majibu yalionyesha hivo hivo. nilitaman kumuua lakin niliamua kujipa moyo as mi ni mwanaume wa ukwel. yeye pia alisisitiza kuwa vipimo vimekosea ye anaamin kuwa alipata mimba mwez wa nane na atajifungua mwez wa tano na c vinginevo. akasisitiza kuwa hajazin. nikaamua kusubiri. ila nikamuahid kuwa nikigundua kuwa mimba co yangu ndo mwisho wa ndoa yetu. nikafanya utafit na kuongea na baadhi ya madoctors wote wanasisitiza kuwa akijifungua ndo ntajua ukwel. lakin pia kuna issue ya 2 wiki plus or minus. najua vizur as mi ni msomi na ni mzazi.
sasa tayar alishajifungua na ni mwez ule ule wa tatu na doctor anadai alijifungua on time. hakuchelewa wala kuwah. which means alipata mimba mwez wa sita wakat hayupo na mm. so kuna uwezekano mtoto sio wangu. lakin yeye ana insist kuwa hajawah kuzin na mtoto ni wangu. amesema hivo mbele ya mchungaji. sasa nimebaki njia panda. nimkubali kuwa mtoto wangu au niende nikapime dna. au nimfukuze. nivunje hii ndoa. nimechanganyikiwa. sijui la kufanya. yaan mpaka kazi zangu zote zinaharibika. nimevurugwa jaman naomben ushaur. nifanyeje.

Pima DNA Kaka...hapo hakuna njia nyinginee
 
wakati anaondoka huo mwezi wa sita hamkuagana??? ila aliporudi ndio ulimpokea??? hapo tu panajieleza inawezewekana kabisa mtoto ni wako sema una imani haba na Mkeo....la muhimu fanya D.N.A na ulete majibu hapa.
 
Kwanza ungebadili kichwa cha habari badala ya Nimevurugwa ungesema "Nimejivuruga"

Kwanza inonyesha unaishi bila imani kabisa na mwenzio; Kama ameondoka mwezi wa 6 na unahisi alipata mimba mwezi huo kuna tatizo gani? Mwezi wote wa sita hamjakutana? Kwa nini unamtuhumu mwenzio bil evidence? Je kuna other signs? kama suspicios behavioors, phone msgs? Mkuu naona wewe waweza kuwa chanzo cha tatizo hapa ;

Pia kisayansi wanawake wengi huendelea kupata hedhi kwa mbali hata wakiwa wajawazito so wiki 4-8 za mwanzo unaweza usihisi chochote. Ni usomi gani huo unaokuzuia kuresearch medical journals and evidence za uzazi? Na wanawake wengine hawana constant menstrual cycle hivyo kuhisi ana ujauzito kwa kukosa hedhi tu si rahisi

Kama huyo mtoto ni wako hakika utautia all the doubt you have put on her maana umeshajenga mbegu mbaya sana katika familia yako . Itakupasa kumlilia Mungu sana kwa roho yako iliyokosa imani.

Hebu soma link hapa chini
Pregnant But No Symptoms - New Kids Center
 
Umesema mke wako alisafiri mwez wa sita mwishon kwahio kuna uwezekano kabisa mlifanya mapenz mwez wa sita mwanzon, jichunguze aliondoka tareh ngap? Na kabla ya kuongoka mlisex tarh ngap? Yawezekana mtoto n wako kama aliondoka mwez wa sita mwishon na mwanZon mlisex, tafakari mkuu
 
Inawezekana kabisa huyu mtoto ni wako maana umesema mkeo aliondoka June mwishoni. Si ajabu wakati anaondoka alikuwa tayari ni mja mzito hakustukia mpaka aliporudi na ukahesabu kuanzia huo mwezi wa June mpaka alipojifungua hiyo March ni miezi tisa. Kama una wasiwasi si vibaya kupima DNA lakini mwangalie mtoto kama ana kitu ambacho anashabihiana nawe kwa mfano kucha za vidole vya mikono na miguu basi unaweza kupotezea tu badala ya kuendelea kumshinikiza mkeo kwamba si ajabu amegegedwa na njemba alipokuwa safarini. Kila la heri kama hutajali usikose kupita mtaa huu kuleta mrejesho kama mtoto ni wako au la.
Umesema sawa mkuu hii mimba inawezekana ikawa ya kwake
 
Kata huduma zote,mwambie ie akalee mtoto sehemu ingine,sio home kwako,wakati unasubiri mda qa DNA,vingine utajitoa roho wenyewe,be a man,act like a boss.
 
Mimba hii inawezekana ni yako. Kimahesabu mimba ikiingia June tunaanza kuhesabu July (1), August (2), Sept (3), October (4) November (5), December (6), January (7), February (8) na March (9). Nina maana kama aliipata tarehe 10.06.2014 atajifungua tarehe 10.03.2015 na kuendelea. Angalizo mtoto anaweza kukaa tumboni mwa mama yake hadi miezi 12. Hii ndo maana watoto wengine si rahisi kuwatoa kawaida bali kwa kupasuliwa mama. Utakuta watoto wa aina hii wana kucha na nywele kama kawa.

Angalizo jingine usiwe na uhakika kama ni wako asilimia 100 maana anaweza kuchepuka kabla ya kusafiri. Yote tisa DNA haiepukiki. CC N2015
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom