Punguza hasira, na hasira hazisaidii kwenye mambo kama haya! Seems unampenda sana mkeo na unamuamini ndo maana mpaka ss hujachukua hatua zozote zile, ningekushaur umrudishe kwao lakini huko nako ndo hakuaminiki zaidi!
So, cha kufanya kwanza kubali kuwa mtoto si wako (hii itakusaidia zaidi mbelen) then jipe muda wa kama 2month halafu baada ya hapo kampime DNA huyo mtoto, kwa sbb ulishakubali kuwa mtoto si wako itakuwa rahisi kuyapokea majibu na kama kweli si wako utaachana nae kwa amani au utatafuta utaratibu mzuri wa kuishi nae, ila ukigundua mtoto ni wako utampokea vzr zaidi na mapenz yenu yataongezeka zaidi!
athari za kupima DNA mapema ni mosi kwako binafsi hutaweza fanya kazi wala kuzalisha chochote muda huu ukisubiri majibu na pili majibu yakitoka postive yatachochea zaidi ugomvi ndan ya ndoa yenu na kukufanya uwe mtumwa wa mapenz yenu daima,