Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja.

mke wangu ni mzur na nimeish nae kwa aman. nimekuwa msaada kwa familia yake. nimewasaidia sana ndugu zake kwa kuwapa mitaji na wengine kuwasomesha mpaka elimu ya chuo.

tatizo lilianza mwaka jana mwez wa nane. mke wangu alisafiri kuanzia mwez wa sita mwishon na kurejea mwezi wa nane mwanzon. alipofika tulifanya mapenz kama ilivo ada kwa wanandoa. baada ya wiki mbili aliniambia kuwa anahis ana mimba. nikafurah as nilikuwa nahitaji mtoto wa pili.
hivyo nilimshauri aende akapime ili tuwe na uhakika tuanze kufanya maandalizi. baada ya kipimo kweli alionyesha ni mjamzito. nikafurahi na kuanza kufanya mipango ya kuweka akiba mahususi kwa ajili ya mambo ya ujauzito na hatimae mtoto.

baada ya miez mitatu nikamshaur aanze kuhudhuria clinic. akaanza na mambo yakaendelea vizur huku nikiendelea kulea mimba.
baada ya miezi kama sita hiv nikaamua kuchukua kad ya clinik ili nione maendeleo ya mke wangu na pia nijue kama kuna taarifa zozote hatarish kwa vile nilikuwa cjaiangalia tangu aanze clinic.

nilichokiona uko ndicho kilichonichanganya. kimenivuruga mpaka cjui nichukue uamuz gan. nilikuta taarifa kuwa mke wangu ana mimba iliyotungwa mwez wa sita na anategemea kujifungua mwez wa tatu mwaka huu.. niimuita na kumuuliza. alinijibu kuwa labda ma ness wamekosea. nilimwambia kuwa lazima nijue. nenda kapige utra sound. majibu ya utra sound yalionyesha kuwa kwel atajifungua mwez wa tatu.

alipima tena sehemu nyingine na majibu yalionyesha hivo hivo. nilitaman kumuua lakin niliamua kujipa moyo as mi ni mwanaume wa ukwel. yeye pia alisisitiza kuwa vipimo vimekosea ye anaamin kuwa alipata mimba mwez wa nane na atajifungua mwez wa tano na c vinginevo. akasisitiza kuwa hajazin. nikaamua kusubiri. ila nikamuahid kuwa nikigundua kuwa mimba co yangu ndo mwisho wa ndoa yetu. nikafanya utafit na kuongea na baadhi ya madoctors wote wanasisitiza kuwa akijifungua ndo ntajua ukwel. lakin pia kuna issue ya 2 wiki plus or minus. najua vizur as mi ni msomi na ni mzazi.
sasa tayar alishajifungua na ni mwez ule ule wa tatu na doctor anadai alijifungua on time.

hakuchelewa wala kuwah. which means alipata mimba mwez wa sita wakat hayupo na mm. so kuna uwezekano mtoto sio wangu. lakin yeye ana insist kuwa hajawah kuzin na mtoto ni wangu. amesema hivo mbele ya mchungaji. sasa nimebaki njia panda. nimkubali kuwa mtoto wangu au niende nikapime dna. au nimfukuze. nivunje hii ndoa. nimechanganyikiwa. sijui la kufanya. yaan mpaka kazi zangu zote zinaharibika. nimevurugwa jaman naomben ushaur. nifanyeje.
Mkuu hawaaminiki hao inshort ushachapiwa sayansi haidanganyi ukizubaa basi imekula kwako binafsi kuna mdada alishawahi nichezea game kama hii yako sababu nilizubaa kuja stuka nshahudumia mtoto wa mwanaume mwingine
 
Cha ajabu kipi hapo? Inawezekana aliondoka na ujauzito usiku ule mlioagana.
Ni vile tu hakuona dalili mapema.
Nina hakika DNA itaonesha mtoto ni wako.
Mkuu fatilia uzi vizur mwanamke mwenyewe anasema mimba imeingia mwez wa 8 wakati vipimo vinaonesha miez miwili nyuma
 
Daaah mke wako bila shaka huko alipokuwa alikuwa akitoa utamu kwa jamaa mwingine
 
Subiri mtoto akue ukapime DNA acha kulia lia siri ya mtoto anayejua ni mama.
DNA bongo kwa wanandoa majibu yatatoka mtoto wako ndo maana ofisi na mkemia mkuu imeconnectiwa na ofisi ya Ustawi wa jamii ili kutuaminisha watoto ni wetu ili wasiteseke.Ukitaka kujua hilo angalia report yao ya mwaka inaonesha kuwa wengi walioenda kupima watoto wengi sio wao.NENDA KENYA
 
ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja.

mke wangu ni mzur na nimeish nae kwa aman. nimekuwa msaada kwa familia yake. nimewasaidia sana ndugu zake kwa kuwapa mitaji na wengine kuwasomesha mpaka elimu ya chuo.

tatizo lilianza mwaka jana mwez wa nane. mke wangu alisafiri kuanzia mwez wa sita mwishon na kurejea mwezi wa nane mwanzon. alipofika tulifanya mapenz kama ilivo ada kwa wanandoa. baada ya wiki mbili aliniambia kuwa anahis ana mimba. nikafurah as nilikuwa nahitaji mtoto wa pili.
hivyo nilimshauri aende akapime ili tuwe na uhakika tuanze kufanya maandalizi. baada ya kipimo kweli alionyesha ni mjamzito. nikafurahi na kuanza kufanya mipango ya kuweka akiba mahususi kwa ajili ya mambo ya ujauzito na hatimae mtoto.

baada ya miez mitatu nikamshaur aanze kuhudhuria clinic. akaanza na mambo yakaendelea vizur huku nikiendelea kulea mimba.
baada ya miezi kama sita hiv nikaamua kuchukua kad ya clinik ili nione maendeleo ya mke wangu na pia nijue kama kuna taarifa zozote hatarish kwa vile nilikuwa cjaiangalia tangu aanze clinic.

nilichokiona uko ndicho kilichonichanganya. kimenivuruga mpaka cjui nichukue uamuz gan. nilikuta taarifa kuwa mke wangu ana mimba iliyotungwa mwez wa sita na anategemea kujifungua mwez wa tatu mwaka huu.. niimuita na kumuuliza. alinijibu kuwa labda ma ness wamekosea. nilimwambia kuwa lazima nijue. nenda kapige utra sound. majibu ya utra sound yalionyesha kuwa kwel atajifungua mwez wa tatu.

alipima tena sehemu nyingine na majibu yalionyesha hivo hivo. nilitaman kumuua lakin niliamua kujipa moyo as mi ni mwanaume wa ukwel. yeye pia alisisitiza kuwa vipimo vimekosea ye anaamin kuwa alipata mimba mwez wa nane na atajifungua mwez wa tano na c vinginevo. akasisitiza kuwa hajazin. nikaamua kusubiri. ila nikamuahid kuwa nikigundua kuwa mimba co yangu ndo mwisho wa ndoa yetu. nikafanya utafit na kuongea na baadhi ya madoctors wote wanasisitiza kuwa akijifungua ndo ntajua ukwel. lakin pia kuna issue ya 2 wiki plus or minus. najua vizur as mi ni msomi na ni mzazi.
sasa tayar alishajifungua na ni mwez ule ule wa tatu na doctor anadai alijifungua on time.

hakuchelewa wala kuwah. which means alipata mimba mwez wa sita wakat hayupo na mm. so kuna uwezekano mtoto sio wangu. lakin yeye ana insist kuwa hajawah kuzin na mtoto ni wangu. amesema hivo mbele ya mchungaji. sasa nimebaki njia panda. nimkubali kuwa mtoto wangu au niende nikapime dna. au nimfukuze. nivunje hii ndoa. nimechanganyikiwa. sijui la kufanya. yaan mpaka kazi zangu zote zinaharibika. nimevurugwa jaman naomben ushaur. nifanyeje.
Hawa wachungaji mnawachukuliaje , kwamba mwanamke akisema mbele ya hawa watu inamaana kwamba anasema ukweli?
 
Back
Top Bottom