Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

Mr Bak mi sikubaliani na wewe kabisa.ingekuwa kwa mwanamke ambaye hajawahi kuzaa na huyo labda ni mwezi mmoja tu.lakini dalili atazijua tu kuna dalili za ujauzito zitatokea tu.hata kama anapata period kuna dalili nyingine atagundua tu.miezi miwili kwa ujauzito ni siku nyingi sana
 
1.Huyo mwanamke hajakaa miezi miwili huko.

2. Kuna uwezekano mabadiliko aliyokutana nayo huko alichukulia ni kubadili mazingira hivyo hakujali sana.
3. Hata kama huko alichepuka na akakiri bado kuna uwezekano mimba kuwa ya mumewe.
4. Mama yangu kwa mtoto wake wa mwisho alijigundua ni mjamzito akiwa na mimba ya miezi mitano.

Sioni kigumu hapo.
 
ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja.
mke wangu ni mzur na nimeish nae kwa aman. nimekuwa msaada kwa familia yake. nimewasaidia sana ndugu zake kwa kuwapa mitaji na wengine kuwasomesha mpaka elimu ya chuo.
tatizo lilianza mwaka jana mwez wa nane. mke wangu alisafiri kuanzia mwez wa sita mwishon na kurejea mwezi wa nane mwanzon. alipofika tulifanya mapenz kama ilivo ada kwa wanandoa. baada ya wiki mbili aliniambia kuwa anahis ana mimba. nikafurah as nilikuwa nahitaji mtoto wa pili.
hivyo nilimshauri aende akapime ili tuwe na uhakika tuanze kufanya maandalizi. baada ya kipimo kweli alionyesha ni mjamzito. nikafurahi na kuanza kufanya mipango ya kuweka akiba mahususi kwa ajili ya mambo ya ujauzito na hatimae mtoto.
baada ya miez mitatu nikamshaur aanze kuhudhuria clinic. akaanza na mambo yakaendelea vizur huku nikiendelea kulea mimba.
baada ya miezi kama sita hiv nikaamua kuchukua kad ya clinik ili nione maendeleo ya mke wangu na pia nijue kama kuna taarifa zozote hatarish kwa vile nilikuwa cjaiangalia tangu aanze clinic.
nilichokiona uko ndicho kilichonichanganya. kimenivuruga mpaka cjui nichukue uamuz gan. nilikuta taarifa kuwa mke wangu ana mimba iliyotungwa mwez wa sita na anategemea kujifungua mwez wa tatu mwaka huu.. niimuita na kumuuliza. alinijibu kuwa labda ma ness wamekosea. nilimwambia kuwa lazima nijue. nenda kapige utra sound. majibu ya utra sound yalionyesha kuwa kwel atajifungua mwez wa tatu.
alipima tena sehemu nyingine na majibu yalionyesha hivo hivo. nilitaman kumuua lakin niliamua kujipa moyo as mi ni mwanaume wa ukwel. yeye pia alisisitiza kuwa vipimo vimekosea ye anaamin kuwa alipata mimba mwez wa nane na atajifungua mwez wa tano na c vinginevo. akasisitiza kuwa hajazin. nikaamua kusubiri. ila nikamuahid kuwa nikigundua kuwa mimba co yangu ndo mwisho wa ndoa yetu. nikafanya utafit na kuongea na baadhi ya madoctors wote wanasisitiza kuwa akijifungua ndo ntajua ukwel. lakin pia kuna issue ya 2 wiki plus or minus. najua vizur as mi ni msomi na ni mzazi.
sasa tayar alishajifungua na ni mwez ule ule wa tatu na doctor anadai alijifungua on time. hakuchelewa wala kuwah. which means alipata mimba mwez wa sita wakat hayupo na mm. so kuna uwezekano mtoto sio wangu. lakin yeye ana insist kuwa hajawah kuzin na mtoto ni wangu. amesema hivo mbele ya mchungaji. sasa nimebaki njia panda. nimkubali kuwa mtoto wangu au niende nikapime dna. au nimfukuze. nivunje hii ndoa. nimechanganyikiwa. sijui la kufanya. yaan mpaka kazi zangu zote zinaharibika. nimevurugwa jaman naomben ushaur. nifanyeje.

kama alienda na mimba basi ni yako na kama si kweli ushachapiwa.

DNA ni laki 5 kama unazo fanya.

Option tho kama unaogopa usifanye, ok fanya ivi.
Mtoto akilala au akiwa chumbani mwenyewe may be mama katoka toa dushe lako mpige kichani kama ni wako atabaki hai na kama si wako atakufa palepale. Itabidi utunze siri.
 
dna bongo sishauri kabisa unless dr atakayefanya hicho kipimo awe ndugu yako au uzunguke nyuma ya pazia umwambie aje akwambie ukweli.huwa wanafanya hivi,kama wanamme wawili wanamgombania mtoto kuwa ni wao,huwa wanaangalia unafuu wa maisha uko kwa nani,au uwezo wa kimaisha uko kwa yupo,mwenye muonekano wa uwezo ndiyo atakayepewa mtoto.wao mahesabu yao ni kuepusha mtoto kuteseka na kukosa mahitaji muhimu.sina uhakika but wakienda kusimulia stori yao kuhusu huo ujauzito na kupima dna ts likely majibu yatakuja kuwa huo ujauzito ni wake,hii itakuwa kuepusha ndoa kuvunjika na pia kumuepusha mtoto na usumbufu usio wa lazima.kama unahitaji dna ya ukweli,fanya kama nilipoeleza hapo awali au jikoki hata hapo nairobi ufanye kipimo hicho
Kama hivyo ni kweli wasingetoa takwimu za asilimia 40 ya wanaume walioenda kupima mwaka jana wamebambikiwa..hii issue ya DNA ni very sensitive aisee hawawezi kukupa majibu ya uongo eti kuepusha watoto wa mitaani...
 
umesema vema mkuu lakini kumbuka hizo ni takwimu tu.kama wewe ulipima mwaka jana unajuaje uko katika asilimia arobaini au sitini iliyobaki?they know the truth but u will never know it.wanatoa takwimu za kijumla but who knows which is which?
 
kitaaluma ya udaktari haiwezekani ukadanganya majibu kwa mhusika halaf ukaweka report ya ukweli ktk file la ofisini yaani mfano majibu ni negative wewe ukampa mgonjwa majibu positive halaf kwenye file ukaweka majibu ya kweli ya negative...hicho kitu hakiwezekani kabisa kwasababu kuna AUDIT inafanyika kila mwaka na wanaofanya sio wafanyakazi husika wa pale, ni watu kutoka nje na mara nyingi hata kutoka nchi nyingine kwahiyo wakiona data haziwiani kesi yake ni kubwa sana...kumbuka kila wakitoa majibu kwa mhusika ni lazma wabaki na kopi kwenye mafaili yao...DNA inakupa majibu sahihi mkubwa...na jamaa wanakupa majibu sahihi na ndio mana kila mwaka wananunua vifaa modern zaidi ili kurahisisha kazi na kuongeza ufanisi
 
Mwanaume wa ukweli kwanza hua 'hapanic' compose yourself first.
Ila mimi ninaona unanamna 2 za kutatua tatizo hili
1. Kubali kuwa huyo ni mwanao na usahau kabisa hizo logic za reasoning;
2. Ukiona huwezi basi nenda kapime DNA
Na ikidhihirika kuwa mtoto siyo wako una namna nyingine 2 za kufanya
1. mwandikishe kama mtoto wako kisheria na usimbague kwa hali yoyote ile;
2. Unaweza sasa kuita kikao cha familia zenu na kuzungumzia suala hili na iwapo mtaamua kuwa ndoa yenu haitokuwa na amani kutokana na suala hili basi anzeni divorce proceedings
 
Hii ndoa yako kisheria inaitwa ndoa batilika au batilishi.Kwa kawaida watu wanabambikiwa watoto namna hiyo.Lakini naona kidogo wa kwako hajuikudanganya miezi miwili ni mingi mno.Wiki mbili poa wengi wanaongia mkenge.Anyway nadhani ni vema mlee mtoto huyo pamoja na mwenzake.Na wengine watazaliwa kuongeza furaha kati yenu.Familia nyingi zinadosali za hivyo. Nadhani alikosea na hakutegea kupata mimba.Samehe Samehe.
 
"Hakuna viumbe wanaojua kuficha siri kama wanawake" - Maneno ya mzee wangu hayo. This time siri imeburumuka...

Uliukosea mchezo mkuu. Ulitakiwa baada ya kuona irregularity kwenye kadi upige kimya ufuatilie chini chini bila ya yeye kujua, unakuja kimshtukiza baada ya vithibitisho vyote....

Sasa hivi anatafuta counter attack si ajabu ukatumiwa mwanamke akushawishi uchepuke ufumaniwe halafu ishu iwe neutralized...au mkeo akacheza na majibu ya DNA....si anamgea daktari tu?
 
tulia wewe lea mtoto...usijeshangaa hata huyo wa kwanza sio wa kwako...
 
Kama alisafiri mwezi wa sita mwishoni, basi mimba ilikuwa yako. Kuna uwezekano mkubwa by the time anaondoka tayari alikuwa mjamzito.

Unataka kuniambia mwezi wa 6 wote hadi mwishoni anaondoka hamkula tunda?
 
hiv mwanamke akiwa na mimba c hedhi inakoma

sasa nyie mnaolazimisha kuwa mimba ilikuwepo toka mwezi wa 6 mnaelewa somo kwel la biology

mkewe kashasema kuwa mimba ya mwezi wa 8,sasa nyie mnaosema kuwa alikuwa nayo mnaitoa wap

mwanamke akipata mimba ndan ya mwez tu anajijua kuwa ana mimba pale mzunguko wako hakiukosa
 
iv mwanamke akiwa na mimba c hedhi inakoma

Ni wanawake wangapi wanakaa mpaka miezi mitatu bila kupata period?
Kama ulishabeba mimba njoo na evidence.
Usiishi kwa theory za vitabuni
 
Back
Top Bottom