Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,090
Watu wengine bwana!Sasa unataka ushauri wa nini wakati jambo liko wazi kuwa unalea kitu ambacho si chako?Huwezi kuvurugwa wakati una uwezo wa kufanya maamuzi na kujua ukweli wa mambo kama mtoto ni wako au si wako.
Du!wanawake wanajua kucheza na akili zetu yaani nile mzigo halafu baada ya wiki mbili uanze niambia eti unahsi kitu kimeingia????Ha ha ha ha haiwezekani mkuu pale ulitakiwa ujue kuwa unadanganywa tena kitoto sana.
Ushauri wangu ni kuwa kitanda hakizai haramu,we lea tu huyo mtoto hwezi jua siku moja atakuja kuwa nani kwako na kwa jamii cha msingi yafaa ulee ukijua ukweli wa mambo maana kama umechomekewa mtoto basi ndio baraka yako hiyo na usitoe nafasi kwa wengine kuvuruga ndoa yako maana uliapa kuishi nae kwa kila hali sasa huu ndio wakati wa kile kiapo chako umefika hivyo vumilia tu maisha yaende.