Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

Cha ajabu kipi hapo? Inawezekana aliondoka na ujauzito usiku ule mlioagana.
Ni vile tu hakuona dalili mapema.
Nina hakika DNA itaonesha mtoto ni wako.

Nilijua tu lazima umtetee mwanamke mwenzio hata pasipostahili
 
Unamuacha mkeo asafiri kwa miezi miwili bila kumfuatilia?
 
yataongelewa mengi ila "you can not change the truth but you can change the fact"issue mtoto sio wa kwako full stop
 
Na ukijua hata huyo mkubwa siyo wako je. Kaza roho songa mbele.
 
Wee kweli wa ajabu. Umesema aliondoka mwezi wa sita mwishoni, sasa kama alipata mimba mwezi wa sita katikati wakati uko naye? Pili ungesubiri upime DNA test ndo uje hapa kuomba ushauri. Sasa ukimfukuza baadaye mkapima DNA ukakuta ni wako utafanyaje? Na wakati huo utakuwa umeipasua ndoa yako vipande viwili. Kubomoa rahisi, kujenga sasa majangaaaaa
 
ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja.

mke wangu ni mzur na nimeish nae kwa aman. nimekuwa msaada kwa familia yake. nimewasaidia sana ndugu zake kwa kuwapa mitaji na wengine kuwasomesha mpaka elimu ya chuo.

tatizo lilianza mwaka jana mwez wa nane. mke wangu alisafiri kuanzia mwez wa sita mwishon na kurejea mwezi wa nane mwanzon. alipofika tulifanya mapenz kama ilivo ada kwa wanandoa. baada ya wiki mbili aliniambia kuwa anahis ana mimba. nikafurah as nilikuwa nahitaji mtoto wa pili.
hivyo nilimshauri aende akapime ili tuwe na uhakika tuanze kufanya maandalizi. baada ya kipimo kweli alionyesha ni mjamzito. nikafurahi na kuanza kufanya mipango ya kuweka akiba mahususi kwa ajili ya mambo ya ujauzito na hatimae mtoto.

baada ya miez mitatu nikamshaur aanze kuhudhuria clinic. akaanza na mambo yakaendelea vizur huku nikiendelea kulea mimba.
baada ya miezi kama sita hiv nikaamua kuchukua kad ya clinik ili nione maendeleo ya mke wangu na pia nijue kama kuna taarifa zozote hatarish kwa vile nilikuwa cjaiangalia tangu aanze clinic.

nilichokiona uko ndicho kilichonichanganya. kimenivuruga mpaka cjui nichukue uamuz gan. nilikuta taarifa kuwa mke wangu ana mimba iliyotungwa mwez wa sita na anategemea kujifungua mwez wa tatu mwaka huu.. niimuita na kumuuliza. alinijibu kuwa labda ma ness wamekosea. nilimwambia kuwa lazima nijue. nenda kapige utra sound. majibu ya utra sound yalionyesha kuwa kwel atajifungua mwez wa tatu.

alipima tena sehemu nyingine na majibu yalionyesha hivo hivo. nilitaman kumuua lakin niliamua kujipa moyo as mi ni mwanaume wa ukwel. yeye pia alisisitiza kuwa vipimo vimekosea ye anaamin kuwa alipata mimba mwez wa nane na atajifungua mwez wa tano na c vinginevo. akasisitiza kuwa hajazin. nikaamua kusubiri. ila nikamuahid kuwa nikigundua kuwa mimba co yangu ndo mwisho wa ndoa yetu. nikafanya utafit na kuongea na baadhi ya madoctors wote wanasisitiza kuwa akijifungua ndo ntajua ukwel. lakin pia kuna issue ya 2 wiki plus or minus. najua vizur as mi ni msomi na ni mzazi.
sasa tayar alishajifungua na ni mwez ule ule wa tatu na doctor anadai alijifungua on time.

hakuchelewa wala kuwah. which means alipata mimba mwez wa sita wakat hayupo na mm. so kuna uwezekano mtoto sio wangu. lakin yeye ana insist kuwa hajawah kuzin na mtoto ni wangu. amesema hivo mbele ya mchungaji. sasa nimebaki njia panda. nimkubali kuwa mtoto wangu au niende nikapime dna. au nimfukuze. nivunje hii ndoa. nimechanganyikiwa. sijui la kufanya. yaan mpaka kazi zangu zote zinaharibika. nimevurugwa jaman naomben ushaur. nifanyeje.[/QUO Mtoto anaweza KUWA wako kabisa, sababu mimba yaweza KUWA imetungwa mwezi wa sita mwishoni na dalili kuonekana baada ya wiki nane,wengine wanawahi kupata dalili ila wengine wanachelewa
 
Ni muhimu ukatulia kwanza, napata imani kwamba Mtoto ni wako, pole kwa majaribu
 
Unamuacha mkeo asafiri kwa miezi miwili bila kumfuatilia?
Ukiangalia vizuri mke hakusafiri miezi miwili! Anasema mwezi wa sita mwishoni akarudi mwezi wa nane mwanzoni! Je mume hakukutana kabisa na mke wake mwezi wa sita wote? Kama walikutana na mke akasafiri, ina maana alibadilisha mazingira! So chochote alichokisikia katika mwili wake anaweza asikifuatilie sana, pia wapo ambao wanakaa miezi ya kutosha mpaka Mtoto anacheza ndo anashangaa nini hicho! Aende taratibu na mke wake
 
wee kweli wa ajabu. Umesema aliondoka mwezi wa sita mwishoni, sasa kama alipata mimba mwezi wa sita katikati wakati uko naye? Pili ungesubiri upime dna test ndo uje hapa kuomba ushauri. Sasa ukimfukuza baadaye mkapima dna ukakuta ni wako utafanyaje? Na wakati huo utakuwa umeipasua ndoa yako vipande viwili. Kubomoa rahisi, kujenga sasa majangaaaaa
pia akumbuke wapo wanawake hawapati mapema dalili za mwanzo za mimba
na wapo wasiopata kabisa dalili wanashtuka tuu mtoto anacheza wakienda kuuliza ndo wanaambiwa ni mimba
 
mbuzi kala mkeka hapo usinganganie huo n ukurunzinza
 
Wee kweli wa ajabu. Umesema aliondoka mwezi wa sita mwishoni, sasa kama alipata mimba mwezi wa sita katikati wakati uko naye? Pili ungesubiri upime DNA test ndo uje hapa kuomba ushauri. Sasa ukimfukuza baadaye mkapima DNA ukakuta ni wako utafanyaje? Na wakati huo utakuwa umeipasua ndoa yako vipande viwili. Kubomoa rahisi, kujenga sasa majangaaaaa

Hapo sasa
 
Ukiangalia vizuri mke hakusafiri miezi miwili! Anasema mwezi wa sita mwishoni akarudi mwezi wa nane mwanzoni! Je mume hakukutana kabisa na mke wake mwezi wa sita wote? Kama walikutana na mke akasafiri, ina maana alibadilisha mazingira! So chochote alichokisikia katika mwili wake anaweza asikifuatilie sana, pia wapo ambao wanakaa miezi ya kutosha mpaka Mtoto anacheza ndo anashangaa nini hicho! Aende taratibu na mke wake

Hata mie nimeshangaa kwanini analalamika na hajarekebisha so mkewe anajua ukweli kuwa mimba ni yake...

Hao madaktari nao sijui ushauri gani huo wamempa bali kula pesa tu kama aliwalipa. Mwezi mmoja ndio iwe tabu na mawazo mmmh

Nashangaa anajua kila kitu juu ya mimba mmmh
 
Kuna mawili. Hapo ni wazi mtoto sio wako. Sasa Kama unaeza tengana nae kwa Amani. Mimi. Nilifanya hivyo na sasa m happy with another woman. Pili Kama haitakusumbua kisaikolojia unapomwona mtoto in future basi umsamehe. Na maisha yaendelee Ila sharti kubwa akubali kuwa mtoto sio wako. Naiona nyumba yenu Kukosa Amani in future which is not healthy.
 
Mi nilitegemea utaleta taarifa za mauaji hapa tayari.
Aisee yan muda wote huu bado uko nae
Fukuzia mbali ibilisi huyo hakuna cha dna wala mavi gani huyo mkeo kachepuka dry chama
 
Back
Top Bottom