Hardwaycomes
JF-Expert Member
- Dec 26, 2018
- 370
- 494
- Thread starter
- #561
Ni trap kwa maana gani mkuu!!
Naomba mtazamo wako tafadhali,inaweza kuwa tahadhari muhimu kwangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni trap kwa maana gani mkuu!!
Kumbe wewe pia ni wa kupuuzwa!!Naomba Namba zake za simu tafadhaali maana hiyo michezo ya Ambaruty anayofanya imenifanya nitake kumuoa
umecheza kama messi mkuuThank you!!!
Sitaki ujinga kabisa,hapa natafuta utulivu wa kisaikolojia,then nianze kutengeneza marafiki wapya!!(just friends!!!)
Ikiwa ni hatua ya kusaka mahusiano mbadala!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati inabidi tu,pamoja na kwamba inaumiza lakini hakuna namna,unavaa ngozi ya mamba,ili maisha yaendelee!!umecheza kama messi mkuu
sahihi kabisa mkuuKuna wakati inabidi tu,pamoja na kwamba inaumiza lakini hakuna namna,unavaa ngozi ya mamba,ili maisha yaendelee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jomba ni kweli tupi uloiandika ila kuna muda hata kama ulikuwa Nyang'au inafikia muda unampata mmoja unaamua kumpenda kikweli na kumhudumia ipasavyoNishasema na narudia tena " Innocent and royal men normally get hostile feedback in relationship " they are the ones who care the most and get hurt the worst....
Demu anahonga pesa yako,analiwa mtaro daaaaah......
Wanaume bora endeleeni kuwa waaminifu tu na hakika mtalizwa sana na hawa wadada wa kileo.
Kabisa lkn u do so for ur own risk...yakitokea yakutokea acheni kulialia tuJomba ni kweli tupi uloiandika ila kuna muda hata kama ulikuwa Nyang'au inafikia muda unampata mmoja unaamua kumpenda kikweli na kumhudumia ipasavyo
Binafsi huwa nayatoa kama somo kwa wengine, na kumwambia ukweli mhusika then najikalia kimya.Kabisa lkn u do so for ur own risk...yakitokea yakutokea acheni kulialia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu mboh ndefu Ni mtaji toshaUkiwa na pesa na mbo.o ndefu na Nene kama tango...habari za kuchitiwa na mwanamke utazisikia tu kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Haujawajua hawa viumbe bado mkuu!!!Ni kweli mkuu mboh ndefu Ni mtaji tosha
Ha ha ha endelea kujifariji ndugu,Haujawajua hawa viumbe bado mkuu!!!
Tuliza akili uendelee kujifunza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na pesa na mbo.o ndefu na Nene kama tango...habari za kuchitiwa na mwanamke utazisikia tu kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana ungenishitua ili nisimwambie hayo, nafuta kauli, ila ulilosema kweli wale wasiotulia ndiyo wanapata waume wa maana watulivu hakuna kitu ila muombe Mungu utapata wakufanana naweMbona unanizibia rizki mi ndo nilitaka kukaa, tunaojiheshimu hatupati wanaume
Aise ukipenda sana huwezi ona kasoro, pole yakeSitaki kusema mengi ila huyu Bwana alishaambiwa tabia za huyu binti coz binti anataka sana kuolewa ila ni rafiki wa vijana wa bodaboda sana...ana ushikaji mwingi sana.
Mbaya zaidi dada yake ambaye ni Muhuni haswa ndiye mshauri wake.
Nina uhakika jamaa hawezi kupinga hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapike chai. Em nambie kwa hali unavoiona leo tuwe me au ke???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hali ya leo tuwe me hakuna namna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]