Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Pole sana, ila vipi mlikutania ktk historia ya mapenz yenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtu ambaye tulijuana kwa miaka mingi,japo hatukuwa wapenzi,mpaka miaka mitatu iliyopiya tulipoamua kuanza mahusiano kwa ndoto za kuishi pamoja in future!
Na tulikubaliana kuwa mwezi wa pili ndo nipeleke mahari kwao!

Kwa kifupi ni mtu tunafahamiana kwa miaka mingi!!!

Daahh kaka polee snaa, ila piga moyo konde, na angalia mbele tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Ulipokosea , u take her so serious, umemuamini mnoo, unaishi kwa kumtegemea yeye sana,. Hao viumbe hawana wema , ishi nae bila kumumtilia manan kimsing awe mlezi tu na sio kuekeza vitu ambavyo vita kugharimu

Mwisho. Mimi pia wakwangu alitaka alete maajabu nikamuawahi , na Mara baaada ya kubadili maisha naishi nae kwa amani na Uhuru Wa hali ya juu.

Hongera kwa kufanikiwa,na Mungu awe upande wenu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Ninachoshukuru mungu niliusoma mchezo mapema.kwan nilikuwa nashuhudia mengi saan japo nilikua mdogo

,,nilipofikisha miaka 21 nilitafuta mtot japo wengi wanaona ilikua bahati mbaya ila siri ninayo mimi mwenyew

Saiz nadate kistaarabu kabisa ,akitaka kwenda anaenda ,akitaka kubaki anabaki ila bado nina moyo tumaumivu tunakuwepo ila kwa mbaaaliiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni asubuhi na sana nineamka nikijaribu kuyatafakari upya maisha niyaendeayo,na namna gani napaswa kuishi kwa sasa!

Nachukua simu yangu,nakutana na ujumbe huu,kutoka kwa huyu mwanamke;

Nashikwa na hasira zaidi,nimenyamaza pasipo kujibu chochote!

Kuna maeneo nimefuta kwa sababu ametaja majina,ambayo sijataka kuyaweka bayana!

Dunia dunia dunia!!!!!View attachment 979260View attachment 979261

Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho asee bado yupo au kashajiondoa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni trap...utaingizwa kingi mda si mrefu

Back
Top Bottom