Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nawaona wenzie na M hapa wakichangia....
Yani ni Watakatifu kabisa wasio na hatia yoyote, na looks like Wameumizwa kweli na kile mwenzao M alichofanya, mpaka wengine wanamwita M majina ya Wanyama.......
Kuuumbeee.....!
Weka mbali kabisa na Watoto!!!
Yawezekana katika hao kuna walio wasafi kweli!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshakufahamu Mkuu wangu na ishu nzima naijua.

Pole sana mkuu...ila ukae ukijua huyo dada alifunzwa hayo na dada yake kabisa.

Na hata wewe ulishaambiwa mengi kuhusu huyu dada na ukawa okay tu.


Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante!!!
Ndo malimwengu haya, sikuwahi kujua kama anafanya michezo ya kipuuzi kiasi hiki!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana bro
Ila nakukumbusha 2
When in Rome, act as Romans..
So hyo amber rutty dance the beat upate xperience cz asilimia kubwa kwa karne hii hawa viumbe wanapigwa tgo af wanakolea so akiwa na ww anaona, unazngua Kaya... Yaan ukipata mwingine akichepuka 2 kaliwa Tgo... Step 3 nyuma... [emoji2401]
Sipendi na sikusudii kuthubutu huu ushetani!
Mungu aniepushie mbali kabisaaa!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigiwa na uliyemzidi kipato ni udhafu wako, kama amekuzidi kipato udhaifu wa
bata Maji....

Ila mzee baba umeniangusha sana, umesusa papuchi! piga kisela wakati unajipanga kivingine.
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Dhu!! pole sana mkuu, makosa yapo ili tujifunze na katika kujifunza tunakua bora zaidi...this too shall pass,, bro nashauri uwe busy kufanya mambo yako ya maendeleo sahau kabisa ndoa kwa sasa inaonyesha haukua muda wako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu ninawashukuru sana kwa michango yenu ya kujenga sana,imenifanya nisi-concentrate muda mwingi kwenye jambo hili!

Pia ninawashukuru nyote mliokuja inbox kwa nia njema kabisa ya kunishauri!

Kuna wengine kwa nia njema kabisa mumependekeza tuonane ili kubadilishana mawazo na kufahamiana zaidi,ni jambo jema sana na ninawashukuru, lakini ni bahati mbaya sana kwamba sitahitaji kukutana na mtu yeyote kwa sasa,(hasa wakina dada,sio kwa sababu ni watu wenye kutia shaka,isipokuwa nahitaji mapumziko ya muda mrefu sana,sitaki kuingia penye janga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana shemeji anajambia mbali,maana wanawake wenye makalio ni trouble sana,akili zao na kujiamini kwao huwa kupo huko,na kimsingi ukioa au kuwa na mwanamke mwenye nyuma ya kutosha kuumwa kichwa itakuwa ni sehemu ya maisha yako,na kimsingi kama ukiwa umeoa ujue utawahi sana kufa,huo ni ukweli mchungu ambao wanaume wengi hatupendi kuusikia,ila fanyeni uchunguzi na mtakubaliana na mimi,hao ni wa kuwatumia tu,na si wa kufanya nao mipango ya future,haijalishi una pesa au hauna,kummiliki mwanamke hasa wa dizaini hiyo ni majanga,ukitaka kuamini hilo angalia mitandaoni picha zao,wote huwa wanataka kalio lionekane,ukijiuliza na kupata jibu kwanini wote picha zao ni za aina moja basi utakuwa umeijua akili yao ilipo na hawatakupa tabu tena,pole jamaa yetu kwa mikasa sucasa!
Hahaaaaa,at I ananyamba kwa mbaaaali!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaweza akawa anampenda,lakini wanawake hawatabiriki,kila siku akiamka anaamka na akili mpya,ukiwa mweupe atataka mweusi,ukiwa na dushe atasema unamuumiza atatafuta bamia,ukiwa mrefu atasema hauna pesa,ukiwa una gari atataka fundi nguo,yaani kama mnajenga mnara wa babeli,ukimwambia alete nyundo,yeye analeta jembe,binafsi nilishakula kiapo kuwa mwanamke atakayekula hela yangu kwa nafasi na bila ya mimi kuwa na kinyongo ni yule aliyenizalia mtoto na kuthibitika kuwa huyo mtoto kweli ni wangu,kinyume na hapo nitaendelea kuwadonoa kwa mali kauli mwanzo mwisho...
Ebhanaee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana alikuwa amefunikwa na mapendeko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kusema mengi ila huyu Bwana alishaambiwa tabia za huyu binti coz binti anataka sana kuolewa ila ni rafiki wa vijana wa bodaboda sana...ana ushikaji mwingi sana.

Mbaya zaidi dada yake ambaye ni Muhuni haswa ndiye mshauri wake.

Nina uhakika jamaa hawezi kupinga hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigiwa na uliyemzidi kipato ni udhafu wako, kama amekuzidi kipato udhaifu wa
bata Maji....

Ila mzee baba umeniangusha sana, umesusa papuchi! piga kisela wakati unajipanga kivingine.
Ni mtazamo na ushauri wako!
Japo hako kakipisi ka ushauri ni kabovu rafiki yangu,hakanifai!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom