Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,622
- 33,492
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapike chai. Em nambie kwa hali unavoiona leo tuwe me au ke???
😂😂😂😂 ndio zenu eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapike chai. Em nambie kwa hali unavoiona leo tuwe me au ke???
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] shiiiii [emoji40][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio zenu eeh?
Ahsante!!
Ni asubuhi na sana nineamka nikijaribu kuyatafakari upya maisha niyaendeayo,na namna gani napaswa kuishi kwa sasa!Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!
Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)
Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?
To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!
Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!
Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!
Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!
Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!
Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!
La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!
Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!
Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"
Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!
Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Tema mate juu Mkuu, ombea yasije yakakukuta. Mwanamke hata haitakaa ijulikane anataka nini, unaweza kuwa na kila kitu lakini bado ukachapiwa, trust me but not women.Ukiwa na pesa na mbo.o ndefu na Nene kama tango...habari za kuchitiwa na mwanamke utazisikia tu kwa majirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Malinda yana shida gani, mbona mnamind sana hii wakati nyie ndio watatuz
Aisee wanawake wana nini hawa duu anatatuliwa rinda?? Sasa chief kipindi hata unapiga game hujaona kama nyuma kupo wazi sana maana mwaka anatatuliwa rinda sio mchezo lazima tobo litakua liko serious kidogo.
Ni asubuhi na sana nineamka nikijaribu kuyatafakari upya maisha niyaendeayo,na namna gani napaswa kuishi kwa sasa!
Nachukua simu yangu,nakutana na ujumbe huu,kutoka kwa huyu mwanamke;
Nashikwa na hasira zaidi,nimenyamaza pasipo kujibu chochote!
Kuna maeneo nimefuta kwa sababu ametaja majina,ambayo sijataka kuyaweka bayana!
Dunia dunia dunia!!!!!View attachment 979260View attachment 979261
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mwanaume unakuaje na mwanamke mmoja???Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!
Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)
Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?
To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!
Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!
Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!
Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!
Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!
Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!
La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!
Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!
Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"
Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!
Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Ahsante kwa kunitia moyo ndugu naisubiri hiyo deadline nikashiriki msiba!Usitishike kama akijiua muache siku zake zitakua zimefika, bora angeishia kucheat ila sio kufanya mapenzi kinyume na maumbile aiseee.
Alifanya la maana sana kuchukua cmKosa ulilolifanya ni kuchukua simu yake na kuiweka mezani karibu yako.
Kosa zaidi ni pale ulipoiacha simu on. Ulitakiwa baada ya kuichukua uizime na maongezi yaendelee.
Alikufanyaje mkuu?Sometimes lazima upite kwenye moto ili uwe chuma kigumu.. uwe mtu strong. Sikuwah kuelewa hiyo concept until my ex aliponifanya kitu kibaya na kuniachia kidonda kibaya mno. Nilipata tabu.. ilinichukua two years ku recover.. but nilifanikiwa nikawa mtu wa tofauti kabisa