benluv
JF-Expert Member
- Feb 13, 2016
- 441
- 343
yes,hiyo mkuu umeongea point sana. na hata jana nlikuwa naye kwake na leo anatarajia kuhamia makao mapya ambako tumeshare gharama za kodi..Kama kweli unampenda mwambie achague mmoja kati yenu watatu hiyo ni hatari mtakuja kuuwana bure kwa kuchomana visu
yeye pia alishauri tutengane,nikamjibu ni poa tu endapo hataona mapungufu,ila tangu nimjibu hivyo amekuwa kimya ni kama vile naye anatingisha kibiriti. unajua mapenzi ukishayaanza kuyatoa ngumu kama yalikuingia ndani kabisa,na ndiyo msemo ule wa mahawala hawaachani