Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Nimevunja uchumba rasmi, sitaki tena kuoa!

Kama nimemuelewa ni kwamba mmoja kati ya hao wanaume wa mwanamke wake ni mzazi mwenzake,halafu jamaa wa pili amemlipia mahari,yeye ni wa tatu na anaendelea kutoka na huyo mdada mdanganyifu,sijui nimeelewa!!!????
Na mimi nimemuuliza labla yupo kwa huyo dada kwa mda tu.
 
Kila la kheri,if you do that willingly,remember what goes around comes around!!!
ilishanitokea,siyo first time mkuu....sasa ni revenge ndiyo movie inayoendelea mkuu.. ndiyo maana naicheza kiroho safi sana....
 
Bado uko nae mwanamke ambaye katolewa mahari na wanaume wawili tofauti huyo mwanamke upo kwa ajili ya kumchezea tu hauko serious nae.
yeye mwenyewe hayupo serious,sasa mimi nifanyaje mkuu??/ mimi naigiza hii movie mkuu..
tena sasa anataka nimpe mimba kabisa,ila nikamwambia anisubiri hadi mwezi february nikishamaliza miamala ya ada za watoto shule nk,ntamdungua mimba.
ILA KIUKWELI,HATA MIMI BADO SIJAELEWA HUU MCHEZO JAPO NIPO NDANI YAKE NAUCHEZA.WE SUBIRIA TU,NTAENDELEA KUKUJUZA MAN....
 
Na mimi nimemuuliza labla yupo kwa huyo dada kwa mda tu.
mmoja ni mzazi mwenzake,mwingine ni mchumba alietambulishwa kwao,na mimi ni wa tatu ambaye nalipa bill za hapa na pale ila moyoni nampenda kweli,hilo sifichi mkuu
 
yeye mwenyewe hayupo serious,sasa mimi nifanyaje mkuu??/ mimi naigiza hii movie mkuu..
tena sasa anataka nimpe mimba kabisa,ila nikamwambia anisubiri hadi mwezi february nikishamaliza miamala ya ada za watoto shule nk,ntamdungua mimba.
ILA KIUKWELI,HATA MIMI BADO SIJAELEWA HUU MCHEZO JAPO NIPO NDANI YAKE NAUCHEZA.WE SUBIRIA TU,NTAENDELEA KUKUJUZA MAN....
Mkuu na wewe kumbe una familia, kwa nini umpe mimba hali ya kuwa hauko tayari kujenga nae life, huoni mtampa tabu mtoto.
 
mmoja ni mzazi mwenzake,mwingine ni mchumba alietambulishwa kwao,na mimi ni wa tatu ambaye nalipa bill za hapa na pale ila moyoni nampenda kweli,hilo sifichi mkuu
Kama kweli unampenda mwambie achague mmoja kati yenu watatu hiyo ni hatari mtakuja kuuwana bure kwa kuchomana visu
 
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32,ni msomaji mzuri wa jukwaa hili,japo sio mchangiaji sana!

Nimeamua kuja na ID mpya ili kujieleza kwa uhuru zaidi!
Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,na tulikubaliana na mpenzi wangu kwamba mwezi February, nipeleke mahari,(I was very comfortable)

Kilichotokea jana,kimenifanya nikate tamaa kabisa ya kufikiria kuoa,labda nipate muda wa kupumzika sana,na sijui nipate mwanamke wa namna gani!!?

To make a story short,ni kwamba Jana tulikubaliana kufanya tathmini ya uelekeo wa uchumba wetu,tulitoka na kwenda mahali tulivu nje kidogo ya jiji,tulifanya hivyo tukiwa na amani tele!

Ilipofika majira ya saa kumi hivi nikaona kama anakosa utulivu,kila mara anashika simu na kuonekana very busy charting, nikamwambia we have to concentrate on what brought us here na sio unakuwa busy na simu kiasi hicho!

Alionekana kunielewa lakini kwa jicho la kisaikolojia niliona bado hayupo normal,nikaamua kuchukua simu zote na kuziweka mezani,karibu na mimi,akakosa amani kabisa!!!
Mara ikaingia sms, "Baby sasa mbona haujanitumia ile pesa" (niliisoma kupitia WhatsApp notification),baada ya kuona hiyo msg moyo ulinilipuka,nikaamua kufingua SMS hiyo ili nijue kinachoendelea!

Nilipofungua SMS nikabaini kwamba anatiwa na dereva boda boda,kilichoniuma zaidi ni kwamba natafuta pesa kwa jasho sana,ili kuiandaa kesho yetu,yeye anatoa pesa kumpa huyo boda boda,haki ya Mungu maumivu niliyopata hayaelezeki!

Mchumba wangu amefikia hatua ya kufanywa kinyume na maumbile,nimeshangazwa kwa viwango vya juu sana,nilijitahidi sana kujizuia ili nijiridhishe kikamilifu juu ya mahusiano yao!

Nilikuwa mpole machoni,lakini niliyekasirika sana moyoni,nikamtaka aniambie ukweli,ili ikiwezekana nimsamehe!

La haula!!!ananiambia ni kweli amekuwa naye kwenye mahusiano kwa mwaka sasa,na jamaa ndo amemfundisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile,halafu anaomba nimsamehe!!!

Nilipoyasikia maneno hayo mwili mzima ulipigwa ganzi,hasira zilikuwa na nguvu kuliko uwezo wangu wa kuzidhibiti!
Ilinilazimu kuondoka mazingira kwa haraka sana ili kuepusha madhara ambayo yawezekana ningeyafanya!

Leo amenipigia simu,sikupokea,ameniandikia ujumbe kwamba haoni tena sababu yakuishi,bora afe,nimemjibu kwa kifupi tu,kwamba "kufa"

Baada ya hapo,nikaa na kutafakari sana,kwamba kama ningekuwa na wapenzi angalau watatu,hata nisingepata maumivu makali kiasi hiki,na pengine ningeanza mchakato na mwanamke mwingine,sasa uaminifu wangu unaniponza!!!

Nakutakia kila la heri M.
NITAANZA TU UPYA!MUNGU MKUBWA NITAMPATA ATAKAYENIHESHIMU KABLA NA BAADA YA NDOA!
Uongo
 
Kutwa unashabikia chadema unategemea nini?

Ni kugongewa tu kwa kwenda mbele
Kwani engeshabikia ccm pasingekuwa na uwezekano WA kugongewa? Wewe uliyeccm wagongewa tena na kucheka wacheka.
 
Hivi kidume rijali, una hela ya kumtoa mtu out mbali na mji, unakuwaje na demu moja kwa mfano!!! Aliyekwambia demu ni sawa na mama yako mzazi nani? Mama mzazi lazima awe mmoja, lakini demu, bro kuwa nao hata 10. Utakuja kufa kwa kifaduro bro.
 
Mkuu na wewe kumbe una familia, kwa nini umpe mimba hali ya kuwa hauko tayari kujenga nae life, huoni mtampa tabu mtoto.
mkuu,mimi nina mtoto mmoja ila nipo single na huyu mdada ndiye nlipokutana naye akaelewa swaga zangu,ndiyo hivyo.na mimi nlikuwa radhi kupenda boga na ua lake..
 
mkuu,mimi nina mtoto mmoja ila nipo single na huyu mdada ndiye nlipokutana naye akaelewa swaga zangu,ndiyo hivyo.na mimi nlikuwa radhi kupenda boga na ua lake..
Nimekuelewa kaka
 
Msamehe maisha yaendelee hapa utakua mwanaume wa kweli mwenye zile sifa za kipekee kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom