Nimevunja mahusiano hivi punde

Nimevunja mahusiano hivi punde

Huyu rafiki angu hakua anamjua ila aliponishirikisha nikamwambia huyu ni girl wangu ila endelea tu utakua unanijulisha mtapofikia na kweli leo amemla mchana
We jamaa ka mkuma vile!? Kwa hiyo ulikuwa unaipima trust ya dem kwa jamaa yako!?
 
Sijaipima ila kwa kuwa alishamfungulia moyo nlitaka tu wafikie tamati ili namie nifunge ukurasa.
 
Habari wakuu

Nimetoka kuachana na mchumba wangu niliyempenda sana hivi punde na nilitaraji angekua mke bora mbeleni

Inauma sana ila siwezi endelea na mwanamke mwenye hulka ya umalaya hata kama ana mazuri mengine mangapi.

Nitieni moyo napitia wakati mgumu kwani nilimzoea sana na hata leo kaja na zawadi nyingi kwangu ila nimechagua kesho bora.

Kanisaliti leo hii hii mchana, hakujua kama mtu alokua naye kimahusiano ni rafiki angu wa karibu
cc Hivi punde
 
mkuu chemsha maji ya moto ila yasikuunguze weka kwenye beseni kisha tia miguu yako ndani ya hilo beseni ukiwa umekaa kwenye kiti kinacho kufit vizuri then fanya kama unayachezea hayo maji na mikono then uwe na mziki wako mlaini pembeni. Fanya hivyo uniletee mrejesho. Ndo namna yangu hiyo ya kurelax na kuondoa stress hua inanisaidia sana. Note kaa karibu na moto na uwe na maji mengine ya moto sana pembeni ambayo utatumia kuongezea joto yale maji ya kwenye beseni yasipoe haraka fanya hivyo kwa muda wa dakika 30 tu. Utakuwa na peace of mind
 
Why unafanya maamuzi ya hasira kama vile dunia inaisha kesho?..

Ungeweza kabisa kumwambia ukweli na kumuacha ateseke na guilty ..
Ukamuacha akuombe msamaha huku unavuta
Pumzi ...unajipa nafasi ya kutakafakari..
Na ikiwezekana unamwambia umemsamehe
Unapisha upepo na kumuacha taratibu ..
Hadi siku ya siku unamwambia huku moyo umeshakubali...

Haraka haraka mwisho unajiumiza mwenyewe..

Dunia ipo Tu...usikurupuke

Umeeleweka vyema Boss.
 
Marehemu mama aliniachia husia mmoja kwamba ntapotaka kuoa nihakikishe naoa mwanamke mwenye mapungufu yeyote yale isipokua mawili tu

1-Hulka ya umalaya
2-Ubinafsi

Mpaka sasa huwezi amini sijakutana na binti ambae hajawa na hizo changamoto
Sema wanawake wenye hulka za umalaya na ubinafsi hao ni tatizo Sana.

Sent from my itel W5003 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu

Nimetoka kuachana na mchumba wangu niliyempenda sana hivi punde na nilitaraji angekua mke bora mbeleni

Inauma sana ila siwezi endelea na mwanamke mwenye hulka ya umalaya hata kama ana mazuri mengine mangapi.

Nitieni moyo napitia wakati mgumu kwani nilimzoea sana na hata leo kaja na zawadi nyingi kwangu ila nimechagua kesho bora.

Kanisaliti leo hii hii mchana, hakujua kama mtu alokua naye kimahusiano ni rafiki angu wa karibu
Mkuu mpige chini huyo,mi binafsi yalinikuta hayo,Tena nimezaanae na nilimjengea sehemu maana nilikuwa na wake wawili, alikuwa mzuri haswa, na nilimpenda haswa mkuu, Ila siku niliyoyaona kwenye simu yake, aisee nilimpiga chini kabisa,japo ilichukua muda sana kumsahau
 
To be serious sidhan Kama umechukua maamuz sahii.

Usikute jamaa ako ndo alitangulia.

Sometimes wanawake wanakua VIPOFU Sana wakishapenda.

Unamfata anakuficha kama anamtu tayari,akihofia Unaweza badili maamuzi.

Afu ukishakua nae Kwenye mahusiano anakua anatafuta figisu na mbinu za kuachana na Yule wa Kwanza kimya kimya.

Wenyewe wanasema
"nataka nimuache kimya kimya bila kumuumiza, Namuonea huruma"

Sasa katikati ya huo mchakato,
unakuja kugundua Yuko na mwanaume mwingine kimahusiano.

Kwahyo mtoa mada,
Unapaswa kuliangalia kwa mapana zaidi Hilo.
 
Hapana mkuu,wamekutana juzi kati tu hapa
Maana wakati wamejuana huyu mshkaji wangu alinambia ila sikujua kama anamsemea huyu ex wangu,so nimekuja jua wameshafika mbali na huyu wangu ndo anafosi kwenda kwa jamaa
 
Mkuu mpige chini huyo,mi binafsi yalinikuta hayo,Tena nimezaanae na nilimjengea sehemu maana nilikuwa na wake wawili, alikuwa mzuri haswa, na nilimpenda haswa mkuu, Ila siku niliyoyaona kwenye simu yake, aisee nilimpiga chini kabisa,japo ilichukua muda sana kumsahau
Shukrani kaka
Eti now kanatishia kujiua.,
 
Back
Top Bottom