Nimevunja mahusiano hivi punde

Nimevunja mahusiano hivi punde

Huyu rafiki angu hakua anamjua ila aliponishirikisha nikamwambia huyu ni girl wangu ila endelea tu utakua unanijulisha mtapofikia na kweli leo amemla mchana
Kwa hivyo huna kinyongo na chalii yako? Umemruhusu mwenyewe aendelee.
 
Pambana na maumivu ndani ya mwezi mmoja tu utamsahau, ila kama unapenda vizawadi zawadi utamtafuta mwenyewe mana amekamata udhaifu wako
 
Mbona umekua weak sana kwa uyo malaya?

Kweli nimeamini kuna Alpha male na beta male
Hapana sio weak,ni vile tu sikutaraji pamoja na passion yote alonionesha angeuza mechi kirahisi vile.
 
Next time ukianzisha mahusiano mengine jitahd uwe na backup ukiachwa unakimbilia kwingine ....sio kulia Lia
 
Kwa hivyo huna kinyongo na chalii yako?
Umemruhusu mwenyewe aendelee.
Yeah! katika chats zao nliona huyu girl ndo katawala sana mazungumzo na kutaka kwenda kwa jamaa so nkamruhusu kwa amani kabisa ye amalize tu.
 
Kumbe we ndo taahira, umemkuwadia demu wako ili kumjaribu…. sasa imetick pambana na matokeo ya upuuzi wako.
Amna acha aende tu wala sina cha kujuta
Heri nimpoteze sai kuliko majuto ya mbeleni
Kingine me sikumpa namba rafiki angu ila walijuana wenyewe huko njiani wakapeana mawasiliano
 
Huwa sielewi ivi kama tungeenda kwamwendo huu kungekuwa nafamilia kweli kwann mnakuza sana haya mambo hao malaika mtawapata wap zungumza nae akionyesha kujutia mpe nafasi
 
Habari wakuu

Nimetoka kuachana na mchumba wangu niliyempenda sana hivi punde na nilitaraji angekua mke bora mbeleni

Inauma sana ila siwezi endelea na mwanamke mwenye hulka ya umalaya hata kama ana mazuri mengine mangapi.

Nitieni moyo napitia wakati mgumu kwani nilimzoea sana na hata leo kaja na zawadi nyingi kwangu ila nimechagua kesho bora.

Kanisaliti leo hii hii mchana, hakujua kama mtu alokua naye kimahusiano ni rafiki angu wa karibu
Yani mpenzi wako amepigwa mti mchana kweupe!!!?
I feel u ma nigga
 
Huwa sielewi ivi kama tungeenda kwamwendo huu kungekuwa nafamilia kweli kwann mnakuza sana haya mambo hao malaika mtawapata wap zungumza nae akionyesha kujutia mpe nafasi
Kacheat na mtu wa karibu sana tena kiwepesi mno
Nikimpa nafasi itakua aibu.
 
Back
Top Bottom