Nimevunja mahusiano hivi punde

Nimevunja mahusiano hivi punde

Habari wakuu

Nimetoka kuachana na mchumba wangu niliempenda sana hivi punde na nilitaraji angekua mke bora mbeleni

Inauma sana ila siwezi endelea na mwanamke mwenye hulka ya umalaya hata kama ana mazuri mengine mangapi.

Nitieni moyo napitia wakati mgumu
kwani nilimzoea sana na hata leo kaja na zawadi nyingi kwangu ila nimechagua kesho bora.

Kanisaliti leo hii hii mchana,hakujua kama mtu alokua nae kimahusiano ni rafiki angu wa karibu .
Me nadhani USINGEFIKIRIA KUMPENDA na hasa USINGEFIKIRIA NDOA haya YASINGEKUKUTA.

Ila tatizo la sisi vijana wa kiume wa sasa ni wabishiii.

Mwanamke mmekutana mjini kisa ana MBUNYE TAMU eti unafikiria KUMUOA.

Mtapigwa sanaaa VIJANA WENZANGU.

Just HIT and RUN broo.

#YNWA
 
Mahusiano bwana yana mengi... kuna siku nimekaa sehemu akatokea jamaa mmoja akamuita demu wake. Demu amefika anaongea na simu mbele ya jamaa kama dk 5 hivi hamalizi maongezi, jamaa akaona isiwe kesi akatoa simu yake akampigia dem mwingine waonane palepale... aisee dem wa kuongea na simu aliwaka balaa bila kujua malipo ni hapahapa duniani
Jino kwa jino , nzuri hii
 
Huyu rafiki angu hakua anamjua ila aliponishirikisha nikamwambia huyu ni girl wangu ila endelea tu utakua unanijulisha mtapofikia na kweli leo amemla mchana
Basi wewe pia unamakosa hawa wanauzaifu mkubwa Kwa wanaume,baada ya kugundua hilo ulitakiwa umkemee huenda angejifunza kitu
 
Bina damu wote ni wabinafsi na wanawake wengi ni zaidi yetu wanaume.
Hulka ya umalaya sawa ila kwenye ubinafsi mkuu.
Au ubinafsi kwenye nyanja ipi labda??
Labda alitaka kumaanisha UCHOYO. Maana ukioa mwanamke mchoyo tegemea migogoro mingi kutoka kwa ndugu zako wanapokutembelea.

Na ndio wale wanaokaa kuwazia mali tu hata kabla haujafa.
 
Habari wakuu

Nimetoka kuachana na mchumba wangu niliempenda sana hivi punde na nilitaraji angekua mke bora mbeleni

Inauma sana ila siwezi endelea na mwanamke mwenye hulka ya umalaya hata kama ana mazuri mengine mangapi.

Nitieni moyo napitia wakati mgumu
kwani nilimzoea sana na hata leo kaja na zawadi nyingi kwangu ila nimechagua kesho bora.

Kanisaliti leo hii hii mchana,hakujua kama mtu alokua nae kimahusiano ni rafiki angu wa karibu .
Kanisaliti leo hii hii mchana,hakujua kama mtu alokua nae kimahusiano ni rafiki angu wa karibu .
 
Uhusiano umevunja wewe, kuteseka unateseka wewe…. hizo zawadi alikuletea kivipi?
 
Back
Top Bottom