Nimevunja mahusiano hivi punde

Nimevunja mahusiano hivi punde

Mahusiano bwana yana mengi... kuna siku nimekaa sehemu akatokea jamaa mmoja akamuita demu wake. Demu amefika anaongea na simu mbele ya jamaa kama dk 5 hivi hamalizi maongezi, jamaa akaona isiwe kesi akatoa simu yake akampigia dem mwingine waonane palepale... aisee dem wa kuongea na simu aliwaka balaa bila kujua malipo ni hapahapa duniani
 
Asiee pole sana. Nitaacha kua na manzi zaidi ya mmoja nikioa ila hapa kabla kua na akiba ni muhimu, wanatongozwa na wengi hawa kukucheat ni ishu ya dakika tu .
Marehemu mama aliniachia husia mmoja kwamba ntapotaka kuoa nihakikishe naoa mwanamke mwenye mapungufu yeyote yale isipokua mawili tu

1-Hulka ya umalaya
2-Ubinafsi

Mpaka sasa huwezi amini sijakutana na binti ambae hajawa na hizo changamoto
 
Mahusiano bwana yana mengi... kuna siku nimekaa sehemu akatokea jamaa mmoja akamuita demu wake. Demu amefika anaongea na simu mbele ya jamaa kama dk 5 hivi hamalizi maongezi, jamaa akaona isiwe kesi akatoa simu yake akampigia dem mwingine waonane palepale... aisee dem wa kuongea na simu aliwaka balaa bila kujua malipo ni hapahapa duniani
Dah! haya maisha siwezi kabisa me ni mtu selective sana
 
Why unafanya maamuzi ya hasira kama vile dunia inaisha kesho?..

Ungeweza kabisa kumwambia ukweli na kumuacha ateseke na guilty ..
Ukamuacha akuombe msamaha huku unavuta
Pumzi ...unajipa nafasi ya kutakafakari..
Na ikiwezekana unamwambia umemsamehe
Unapisha upepo na kumuacha taratibu ..
Hadi siku ya siku unamwambia huku moyo umeshakubali...

Haraka haraka mwisho unajiumiza mwenyewe..

Dunia ipo Tu...usikurupuke

Its the boss
 
Pole mkuu,ndo walivyoo,we jipumzishe kidogo kwa muda maumivu yakipungua vuta kituu ingine chapaa tu ila usiwe na malengo ya kuioa,hii itakupunguzia maumivu,nakuadi within a month utasahau kama ushadate na hyo ng'ombee
 
Nimekusamehe halafu unamwacha taratibu haha...hii ndio kanuni yangu.
Mtu anaachwa akijua amesamehewa yameisha.
Hii naona ni kama kupotezeana muda na unafki juu, heri umuache tu aende zake akaendelee na mambo yake
 
Marehemu mama aliniachia husia mmoja kwamba ntapotaka kuoa nihakikishe naoa mwanamke mwenye mapungufu yeyote yale isipokua mawili tu

1-Hulka ya umalaya
2-Ubinafsi

Mpaka sasa huwezi amini sijakutana na mwenye sifa zote mbili kwa pamoja
Bina damu wote ni wabinafsi na wanawake wengi ni zaidi yetu wanaume.
Hulka ya umalaya sawa ila kwenye ubinafsi mkuu.
Au ubinafsi kwenye nyanja ipi labda??
 
Pole Sana mkuu kwani umewafuma wakifanya yao au umeongozwa na hisia za wivu mkali
Huyu rafiki nlipompa go ahead kweli aliendelea nae huku ananionesha chats zote
Hadi leo alipoenda kwake na akamla

Bahati nzuri tulikua na ahadi nae ya kuja kwangu leo usiku na alivo mjinga alinambia kwamba atakuja ila anaomba nisimguse,
Bila kujua me namzoom tu
 
Yani awe mwanamke mwenye moyo wa utoaji na kutojifikiria yeye zaidi
Kutoa ni kazi yako mwanaume yeye ni mpokeaji. Huko kujifikiria yeye labda uanze wewe. Kwa maana hiyo unataka uujue mshahara wa mkeo( kama ni mfanyakazi) .
 
Nyie endekezeni mambo ya kupendana sahuri yenu🙄
FB_IMG_16260339220895053.jpg
 
Shukulu Mungu upate mwanamuke/mwanamume mwema na sio muhuni, haijalishi masikini au tajiri muhimu awe mtu wa Mungu. Maranyingi wenye hella ndio wanyanyasaji kwa wakezao, na maranyingi mwanamuke msomi anataka kumpandilia kichwani mumewe kisa kielimu chake. Ni unyambafu haswaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom