Nimevunja mahusiano hivi punde

Nimevunja mahusiano hivi punde

Jiunge na mafunzo ya zima moto. Hakikisha unamudu vizuri njia za kukabiliana na moto na matumizi fasaha ya fire extinguisher.
 
Mkuu pole Sana ila Ukiwa na demu hutakiwi kuingia Mzima Mzima pia Ukiwa na mahusiano unatakiwa uwe na ukomavu na pia uwe na back up
 
Wanawake watakufedhehesha...focus kwenye kutafuta fedha,focus kwenye mambo yako,atakuja mwenye mapenzi ya dhati huko mbelen
 
Habari wakuu

Nimetoka kuachana na mchumba wangu niliyempenda sana hivi punde na nilitaraji angekua mke bora mbeleni[emoji22]

Inauma sana ila siwezi endelea na mwanamke mwenye hulka ya umalaya hata kama ana mazuri mengine mangapi.

Nitieni moyo napitia wakati mgumu kwani nilimzoea sana na hata leo kaja na zawadi nyingi kwangu ila nimechagua kesho bora.

Kanisaliti leo hii hii mchana, hakujua kama mtu alokua naye kimahusiano ni rafiki angu wa karibu

Pole sana ndugu.

Binafsi ni muhanga wa hilo pia.

Ni bora upitie maumivu makali ya muda mfupi kuliko kuja kukosa furaha ya muda mrefu.

Yatapita hayo na utakaa sawa.
 
Back
Top Bottom