Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

Ungetaja unataka mke mwema, tabia nzuri,mvumilivu, atakae kupenda, Mungu humpa mtu kitu anachokiomba so utapewa huyo mwenye degree na kazi asikufae. OMBA MKE MWEMA

Usinifunze Uchaguzi najua ninachokiamini-kwa hiyo choose your path I choose mine Sawa
 
Hata hivo inaaminika kuwa wanawake na wanaume wa jf ni waelewa sn,na wanaweza dumu endapo wakikutana na kuwa pamoja.

Hahaaa wangekua waelewa wasingekua wanakuja kutangaza umu kua mademu wa jf sura mbovu
 
Nikikupa liquor Kama hujaridhia huwa sigegedi naacha,nataka tuwe in terms Kama hizo
Sina haja ya kuja na panga for what I use guns when I want to,na siyo sababu ya gademu mabebez wa bongo eti nimemnunulia kilaji
Mafriends wote wanappreciate when it comes to mululu

Nitaogelea nadhani
 
Mkuu kwa hiyo uliposema huchagui kabila uliongopa? Edit pale ili upunguze sample size.

BTW nina mchaga maisha kwangu ni matamu sana, na sijui nilikuwa na mawazo kama yako mapema, trust me utapata mchaga na u wont regret.

CC miss chagga.

kaniambia atanipiga nikienda kule atanianika jukwaani .... mimi nimekaa kimya kasema atanipa offer ya kinywaji tu mengine hanitaki
 
ya kikubwa ni yapi MKUU...

demu atayekubali kuwa na huyu muraa atakoma ,... humo ndani ni mguuu pande moja.... mguuu kati moja.... kiunoooo juuu moja mbili tatu moja..... sipati picha...... mama nanilii andaa hiyo K nakuja kula hamna hata maandalizi....
 
kaniambia atanipiga nikienda kule atanianika jukwaani .... mimi nimekaa kimya kasema atanipa offer ya kinywaji tu mengine hanitaki

Amna kipigo hapo, mlaini tu huyu, anapretend. Wenyewe huwa hawasemi, kipigo kwanza then mengine bado.

Kwa hasira walizo nazo saa hizi key board ingekuwa chali asingekuwa anajibu maana angekuwa keshaivunja.

Atakuwa mtu wa karibu na pwani au wa pwani kabisa anakaa karibu na hao jamaa
 
Ha.ha ha siongei nisijenyimwa offer yangu ya vinywaji vya south africa
 
demu atayekubali kuwa na huyu muraa atakoma ,... humo ndani ni mguuu pande moja.... mguuu kati moja.... kiunoooo juuu moja mbili tatu moja..... sipati picha...... mama nanilii andaa hiyo K nakuja kula hamna hata maandalizi....

Unataka kuleta habari za MSINGI WA MJINI KIUNO EEHE....
Mjini msingi PESAAAAA
 
Zikipukutika mkiwa ndani?

siwezi kukubali zipukutike prsa inatakiwe iwe kwenye mzunguko na kuwa creative kila siku .... kuna mazingira kama ugonjwa kufilisiwa hiii nayo nishaiwekea alternative tayari ...
 
siwezi kukubali zipukutike prsa inatakiwe iwe kwenye mzunguko na kuwa creative kila siku .... kuna mazingira kama ugonjwa kufilisiwa hiii nayo nishaiwekea alternative tayari ...

Good girl, shemeji. Dada yako hajambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom