Watu Kama wew huwa siongei Mara mbili nakunasa kibao tu
Endelea kumsubiri miss chagga hapo Hugo house huku ukiendelea kujibu pm. This is too low for me to handle bwana mdogo.
Mbona kimya sasa tena niko Hugo house my dear can you come
We ntakukata P yako Shauri yako
Mi Bwana mdogo njoo Kwa PM nkuelekeze nilipo km hujarudi kuleta habari kwa wanajamii Hapa
Mi Bwana mdogo njoo Kwa PM nkuelekeze nilipo km hujarudi kuleta habari kwa wanajamii Hapa
Unanitish Kwa kweli siwez sema uongo
We nenda tu hana kitu tango pori huyu
Aku mie nilale niongeze afya akiniumiza labda mods waniwekee ulinzi mkali
hahaaa nipo na mke wangu hapa,. Endelea na wa pm utawapata. ukiwakosa hapa nenda pale uwanja wa fisi. Miss Chagga hajafika tu? Angalia muhudumu mmoja akusaidie maana huyu miss chagga kishakutosa, kapanda range sasa hiv
Anatafuta attention kila kona
Mi siendi tena sitaki mie
Unamfanya afure, na kujikoki kote, tuma hata photicopy yako
Hivi wewe frankclemence mbona unakuwa mpumbavu sana, unaposema degree ya social issues hata kama ni 2" HUJUI HAPA UMETUONYESHEA DHARAU ZA KUFA MTU, umeshaniharibia siku hebu na wewe upload CV yako tuone.