Acha umbea quality plaza ipi ya Mbeya au Iringa
Acha kumkatisha tamaa mwenzio wewe....sema tu nimeshaolewa ningemgandaje...umri muafaka kabisa huu
Nahisi utakuwa Mzee wewe we unafikiri siku hizi watu bado wanaenda uwanja wa fisi,huna Adabu ntakutafuta lazima wewe
Quality plaza it's on my way home Mara nyingi huwa napata happy hour wakati wa foleni Kali so nabelieve you run
Tindikali unaijua vizuri lakini au unaongea tu
Nahisi utakuwa Mzee wewe we unafikiri siku hizi watu bado wanaenda uwanja wa fisi,huna Adabu ntakutafuta lazima wewe
Acha utoto Lolz nimeshakujua tayari.
At Least I know who you are,ukibisha I will uploads ya pic here for people to see
Aje kwa PM lolz