samahan ndugu. i have the same problem. NIKO MWAKA WA TATU DOCTOR OF MEDICINE NA KWA BAHATI NZUR NIMESOMA OLEVEL NA ALEVEL BOYS NA SEMINARI. Ckuwah kupata wazo la kuwa na mchumba kipindi hko lakin sasa naona ni muhmu kuwa nae. ninatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo,
1. awe mkristo na muamini
2. awe mrefu kias
3. awe na elim ya form 4
4. asiwe mweupe sana wala mweus sana
5. awe hajawah fanya kaz bar au nyumba yeyote ya starehe
6. c lazma awe mfanyakaz
7. awe na umri wa below 20 kwan mm nina umr wa miaka 23
niko tayar kuish nae kama mchumba ndan ya mwaka mmoja na ndpo tutaanza maisha rasm
wakat namalizia masomo yangu. kwa alie tayar email:
mikethon1991@gmail.com
ASANTENI