Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

Amna kipigo hapo, mlaini tu huyu, anapretend. Wenyewe huwa hawasemi, kipigo kwanza then mengine bado.

Kwa hasira walizo nazo saa hizi key board ingekuwa chali asingekuwa anajibu maana angekuwa keshaivunja.

Atakuwa mtu wa karibu na pwani au wa pwani kabisa anakaa karibu na hao jamaa

We kweli used una mambo ya kike natamani ningekupa vitasa mjinga wewe,
 
We kweli used una mambo ya kike natamani ningekupa vitasa mjinga wewe,

Unaota eenh? Nishachoka kesi za polisi sasa nimeokoka namtumikia Bwana Yesu! Wala sitabishana na wewe endelea kujibu pm za wachuma huko pm.
 
Unaota eenh? Nishachoka kesi za polisi sasa nimeokoka namtumikia Bwana Yesu! Wala sitabishana na wewe endelea kujibu pm za wachuma huko pm.

Watu Kama wew huwa siongei Mara mbili nakunasa kibao tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom