Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

Ila bia chupa naomba ziwe tofauti mura

Usijali I will begin this day with you-bia tu sema Smirnoff and the likes of savannah,red,white South African,Dodoma or French name them,reds,the bill name them Miss Chagga
Watch my calibre,be my guest tena Leo Friday
 
Wewweeeeeee mura hapo nakukubali tukutane wapi mura ila usije na panga..
 
We ni mrembo class gani kwanza ni iPhone,Samsung galaxy,Nokia ama nini usije ukawa Kama mmoja hapa JF name withheld alinisumbua Kuwa yuko na class Iphone,nilivyomwona nliishia kumcha pa makofi pale Mlimani city hakuamini macho yake akanipeleka Oysterbay nikahonga nikatoka
 
Wewweeeeeee mura hapo nakukubali tukutane wapi mura ila usije na panga..

Nikikupa liquor Kama hujaridhia huwa sigegedi naacha,nataka tuwe in terms Kama hizo
Sina haja ya kuja na panga for what I use guns when I want to,na siyo sababu ya gademu mabebez wa bongo eti nimemnunulia kilaji
Mafriends wote wanappreciate when it comes to mululu
 
Kwa vigezo ulivyoweka inabidi Siku ya kuonana waambie waje na vyeti vya kuzaliwa na za taaluma uje elimu na umri wa atakayekufaa.
 
pole sana rudi shuleni au nenda kwa mzee wa upako utapata buree huyo mchumba
 
Iv kweli na degree akose wa mtaani aje kuwa na wa jf loh....labda sio mm

Hata hivo inaaminika kuwa wanawake na wanaume wa jf ni waelewa sn,na wanaweza dumu endapo wakikutana na kuwa pamoja.
 
We ni mrembo class gani kwanza ni iPhone,Samsung galaxy,Nokia ama nini usije ukawa Kama mmoja hapa JF name withheld alinisumbua Kuwa yuko na class Iphone,nilivyomwona nliishia kumcha pa makofi pale Mlimani city hakuamini macho yake akanipeleka Oysterbay nikahonga nikatoka

Wa class ya iphone yupoje na wa nokia tochi yukoje?
 
Tumeanzia hapa tumalizie hapahapa aisee na kwa faida ya wengine pia

Kama hutaki unapita kushoto,kutongozana tutongozane sisi then tuwape faida NANI and for what reason kwa mfano
 
we sifa zako zipi? au kumiliki dushelele ndo unaona umemaliza sifa zote wazitakazo wanawake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom