Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

We ni mrembo class gani kwanza ni iPhone,Samsung galaxy,Nokia ama nini usije ukawa Kama mmoja hapa JF name withheld alinisumbua Kuwa yuko na class Iphone,nilivyomwona nliishia kumcha pa makofi pale Mlimani city hakuamini macho yake akanipeleka Oysterbay nikahonga nikatoka

kumbe mkurya? rudi nyumban upate majasiri wenzio tena wamekeketwa hivo wana sifa za kuwa safi
 
Tena we ndo staki hata kukuskia mazafantazz,I wish hata ningekuona nikunase vibao kwanza nitulie

punch.gif
 
Mkuu mpaka umri huo unatafuta mchumba? Wakati jua lishazama tayari

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Mkuu mpaka umri huo unatafuta mchumba? Wakati jua lishazama tayari

Sent from my iPad Air using JamiiForums

Acha kumkatisha tamaa mwenzio wewe....sema tu nimeshaolewa ningemgandaje...umri muafaka kabisa huu
 
Ndo mana siwezi kuwa na mchagga nlishaapa Kwa mama yangu mpenzi

Mkuu kwa hiyo uliposema huchagui kabila uliongopa? Edit pale ili upunguze sample size.

BTW nina mchaga maisha kwangu ni matamu sana, na sijui nilikuwa na mawazo kama yako mapema, trust me utapata mchaga na u wont regret.

CC miss chagga.
 
Hapana mama alinambia Kabla hajafa na kamwe siwezi Rudi nyuma
RIP my mum nakupenda sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom