Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
wanaowahi ndo hao wanapeana hata mimba na beki tatu ! ingawaje kuku wanaingiaga ndani saaa 12 hata majogoo huwa yanabaki kudonoadonoa nje! maisha ni zaidi ya ndoa kaka! sasa ukishaoa ndo utajitenga na outside world? utaishi vipi sasa? mwanaume hujui hata bei za viwanja mjini ila bei za mafungu ya nyanya unajua?Nimekukubali kweli wewe maisha unayajua.