mwishoni utaishia kugegeda beki tatu aisee! mi wangu akirudi mapema namrudisha mtaani
wakati nasoma hii thread nilikuwa nacheka tu............
She is insecure......
Wenzio hawataki eti wanataka saa 12 uwepo home sijui usaidie kumenya vitunguu?
Kuna familia moja imejengea karibu kabisa na kwangu tokea wamehamia ni miezi minne na zaidi, Baba wa familia hii ni wa rika langu kabisa, siku chache baada ya kuhamia tulikutana kwenye Ibada ya Jumuia mtaa wa tatu, basi tukawa tunaongea kwa kutaniana akiniuliza wenyeji huwa mnanywea bia wapi? Mimi nikamshauri kwamba Wkend tutafutane akiwa anasikia hata mkewe.
From there onward inapotokea mmoja wetu amekaa sehemu anapata kinywaji tunashtuana na kama upo interested una-join au unapotezea na mara nyingi tumekuwa tukikutana baadhi ya Weekends au public holidays.
Majuzi nilikuwa na Business moja ya kumshirikisha, tukakubaliana tuonane Lunch time kwasababu wote tunafanya kazi mjini, Kutokana na mda wa Lunch kuwa tight kidogo tulishindwa kupata mda wa kuzungumza kwani kulikuwa na marafiki wengine ambao isingekuwa vema wasikie mambo yetu, hivyo tukakubaliana tukutane Jioni Bar moja ya karibu mtaani kwetu.
Mida ya saa moja na nusu usiku tukakutana na jamaa na tukaanza mazungumzo, tukiwa kati kati ya mazungumzo jamaa akawa busy sana na simu ya mkononi kwani alikuwa kila baada ya dakika chache ananyanyuka kwenda kuongea na simu alafu akirudi 'mudi' yake inabadirika, sikutaka kumuuliza maana niliamini ni mambo yake binafsi na ndomaana hakutaka nisikie anaongea nini.
Baadaye jamaa akazima simu yake, tukaendelea na mazungumzo huku tukipata Bia mbili tatu, ilipofika saa tatu na dakika kadhaa usiku nikapigiwa simu na namba ambayo sikuwa nimei-save, nikasikia sauti ya mdada lakini siku-notice ni nani, akajitambulisha kwamba yeye alikuwa ni mke wa Jamaa niliye naye Bar akaniuliza kama kweli nipo naye nikathibitisha hilo, Hapo ndipo alipoanza kunishambulia kwamba tokea nimefahamiana na mmewe, mmewe amekuwa akichelewa kurudi nyumbani, na ameanza tabia ya Umalaya, hivyo akaniasa niache kumfundisha mmewe Tabia zangu chafu za umalaya.
Nimeumia sana kwasababu hata siku moja huwezi ukamfundisha tabia mbaya mtu mzima mwenzako, labda na yeye awe tayari anatabia hizo, huo umalaya wangu sijui kaufahamia wapi kwasababu hatujawahi kufahamiana kabla ya wao kuhamia mtaani, japokuwa wife kasafiri mda mrefu nimejitahidi sana kujizuia na haya mambo, na mbaya zaidi wife akirudi akikuta sipo katika mahusiano mazuri na Mke wa jirani ata-draw picture gani? Nifanye nini ili tuendelee kuheshimiana na huu dada? Napata taabu kwasababu nikimueleza mmewe kwamba aangalie cha kufanya ili mkewe afute imani mbaya aliyo nayo juu yangu lakini jama ananiambia nimpuuze tu mkewe.
mwishoni utaishia kugegeda beki tatu aisee! mi wangu akirudi mapema namrudisha mtaani
Hata kama hupendi pika, mme akiwepo lazima utataka kumpikia tu.
Unaenda jikoni unapika pika, mara unakuja unamchungulia kuku wako mwenyewe tena kwa kunyata nyata. Hapo unapalilia apetaiti ya usiku, flirting ndogo ndogo. Asikwambie mtu, hata uhongwe Bombay hutakaa ufikirie kuchit.
Sijui hapo bado ni jioni jioni, mara umempitishia ka supu kepesi kepesi tu kumchangamsha, kama ni mpenzi kwa kahawa, unaiunga kahawa kwa nyanya. Kama ni mpenzi wa bia, kabia unakaleta hadi kanatoa jasho umekaunga na giligilani, poa tu hata aje na marafiki zake 100, wapige kelele za kushangilia mpira hamna shida. Tena hata nisivyowapenda Man U, kama ni timu yake nitaishangilia tu hata kama inacheza na Chelsea.
Mapenzi ni mchezo wa wakubwa, na raha wa kucheza naye anapokuwepo mcheze wote. Sasa unataka kucheza afu wa kucheza naye hataki ama hayupo, lazima utaenda kucheza kwa jirani tu.
cc Kaizer Asprin Babu Dark City
Bujibuji jamani?huishi vituko wewe?Huyo mwanamke lazima atakuwa na jini Makata

Mwanamke anatakiwa awe na heshima kwa mumewe na hata wanaume wengine,huyu mwanamke hana heshima kabisa na ingekuwa ni mimi ningemshikisha adabu,wanawake wa namna hii ndio huwafanya wanaue kutokuwa na maendeleo.
Mkuu endelea kufanya mambo yako na mwanaume mwenzako bila kutetereka.
sio kila jambo ni la kuwekea vikaoyazungumze na huyo mama ukiwa na mme wake nb mkeo..tofauti na hapo utajuta kuishi hapo
huyo dada hajiamini
kuna haja gani ya kudili na wewe
si angedili na mme wake,mpotezee tu!