Nimetukanwa na mke wa jirani yangu!!!

He he he he, mume mtamu jamani.
Na hizi cost cut za makazini ajira hamna na mitaji hamna.
Bisahara ilobaki ni ndoa, unakuwa hausi wife, mtu mwingine anajibebesha uzazi wako bure bure

Nani atataka kupoteza hilo? Am thinking kuajiriwa kama hausi wife kwa kweli, nimechoka maji ya asubuhi.
 
Halafu mwakani lazima uoe, familia imechoka kukuvumilia. esa unayo, una kazi nzuri na elimu ya kutosha, lazima uwe na familia.
Kama huna mchumba tunakutafutia

Wake wemyewe ndio hawa, controlling, na ukizubaa cheating inahusika. Mtajuuuuta kutufahamu.

Kama wake wenyewe ndio hawa, one can't even have a beer with buddies, marriage is overrated.

Tutasepa tu.
 
Alafu sijawahi kubadirishana naye namba za simu sijui kazifuma wapi namba zangu

Namba atakuwa aliichukua kwenye simu ya mumewe either kwa kuiba au kwa kuomba ila hajasema lengo ni nini! Alikuwa anakutafutia timing siku nyingi.

Halafu, umri kufanana siyo kufanana values. Jiulize mume wake alimpaje namba yako bila ridhaa yako.be careful, either mwanamme ana problems zake anataka kutokea kwako, au wanampango mmoja. Kwa nini akuambie umpuuze mke wake na ni yeye alimpa kontakti zako?

Usihukumu kwamba ni yeye aliyempa contacts, unajuaje kama alichukua mwenyewe kwenye simu? Mume husika alikuwa right kumwambia jamaa ampuuze kwa sababu mke amefanya mambo ya kipuuzi!

Mkuu Mvaa Tai punguza mazungumzo na jamaa, maana huyo mama anatafuta kiki kwa issue zake. Siku wife akifika msimulie yoteee, halafu uongezee na chumvi kabisa kwamba amesema hivi "...kama mke wako ni mbaya huwezi kukaa naye wengine tunawataka wame zetu nyumbani..."

Baada ya hapo we kaa zako kimya kama hakuna kilichotokea, ila umkwepe huyo mwanaume, muwe mnasalimiana tu yanaisha. Usikae naye kunywa bia kabisa, akikufata sawa ila wewe usiwe na ratiba naye yoyote kabisa.
 
Last edited by a moderator:
yap kwanini uwai home? unaenda kupika au kufanya nini? why usijichanganye na wenzako mtaani kujua hata dunia inaendaje? kuna muda wa marafiki kuna muda wa home! kwani ukishaoa unacancel maisha mengine au na wengine kaka?
Yaani wengine mpaka inakuwa kero wanathania usipokuwa nyumbani chakula hakiivi
 
We naona ni mtu mvumilivu sana. kama amekuita malaya, jaribu kumtongoza uone kama atakataa. Huenda anakuzimia ile mbaya imagine hadi ametafuta namba yako na kuipata! Mwendee kabisa huyo...
 
Tatizo la wanawake hapo yeye anaweza akawa anafikiri mumewe anakununulia bia,hivyo roho inamuuma kishenzi cha kufanya we mchunie tu hata salam usimpe,fanyeni mambo yenu kama wanaume ye mwache aendelee kukonda tu.
 
huyo mdada mbona hata aibu hana jamani?
ndo nini kumpayukia ivo jirani
 
Hebu block huyo mwanamke haraka sana,,, tatizo wanawake hatujui kama kuna wakati mwanaume anahitaji time ya kukaa na rafiki zake au peke yake kabisa..
 
yap kwanini uwai home? unaenda kupika au kufanya nini? why usijichanganye na wenzako mtaani kujua hata dunia inaendaje? kuna muda wa marafiki kuna muda wa home! kwani ukishaoa unacancel maisha mengine au na wengine kaka?

Kuna baadhi ya wanawake ni wajinga hujapata ona halafu ukijitahidi kurudi nyumbani mapema anaanza kukupia story za kimea mambo ayliojiri nyumba ya pili kwa halima na ujinga mwingi hakuna kitu ya maana mtakaa muongee .
 
Back
Top Bottom