Nimetongoza mabinti wengi sana lakini walinikataa

Nimetongoza mabinti wengi sana lakini walinikataa

Utakuwa unawahi sana kuwambia unachokitaka au unawambia ukweli mwingi.Tumia uwongo mwingi na ukweli kidogo sana.Kuwa makini na ugonjwa wa Ukimwi
 
Mm kama mwanasheria mkuu wa CHAPUTA siko tayar kupoteza mwanachama wang mtiifu,hivyo nawasih warimbwende waemdelee kumkataa huyo kijana.
 
Mimi in kijana Mwenge umri 24 nipo chuo mwaka wa tatu ,toka nimetongoza wasichana sijawai pata kabisa,ingawa ni kijana mzuri,mrefu Nina mwili kidogo black,ila kila nikifuata msichana lazima anitolee nje,hela huwa sijui kuonga,wakuu naombeni ushauri nifanyeje ili na mimi nifurahie raha ya kuwa katika dunia hii....karubuni kwa ushauri matusi sio poa
Nenda playstore download app ya badoo. Utapata mademu wengi tu mi huwa hata sihangaiki na demu mtaani
 
Jombaa usifikiri utatongoza siku moja na siku hiyo hyo ukubaliwe jifunze kuwa mvumilivu na sio ukikataliwa na mmoja unarukia mwingine ndani ya mda mfupi. Huwa wanaambina hasa huko chuoni mwisho wa siku wanakuona kama play boy
Daaah!kwel kabisa
 
We utakuwa kilaza darasan jaribu kufaulu mitihani utaona wanavyokufuata uwasaidie kwenye test ndo watakupa hadi tigo mpaka utawachoka. Hela huna basi hata akili huna?
Mkuu class nipo vizuri sn hata nkikokosa disc watanitumia SMS sana mkuu
 
Utakuwa unawahi sana kuwambia unachokitaka au unawambia ukweli mwingi.Tumia uwongo mwingi na ukweli kidogo sana.Kuwa makini na ugonjwa wa Ukimwi
Duuuh!kwel kabs mkuu,ninatabia iyo ila asqnte kwa ushauri uliotukuka
 
Mm kama mwanasheria mkuu wa CHAPUTA siko tayar kupoteza mwanachama wang mtiifu,hivyo nawasih warimbwende waemdelee kumkataa huyo kijana.
Asante mkuu kwq pumba ,nahisi Michele utatoa wiki ijayo
 
Nyege zinanisumbua sana
Kama unanyege si utafute kahaba upige kwani kuna ulazima kuwa na demu wa chuo wanapenda wanaume wengi magari tafuta demu mbovu yeyote mtaani atakayekupenda uwe unajipoozea au tafuta dawa za masai utawapata tu
 
huyo mwenye post muongo inaonesha ana miaka 25 lkn kasema 24 hahaaa
 
Kama unanyege si utafute kahaba upige kwani kuna ulazima kuwa na demu wa chuo wanapenda wanaume wengi magari tafuta demu mbovu yeyote mtaani atakayekupenda uwe unajipoozea au tafuta dawa za masai utawapata tu
Asante mkuu ,ila nataka. Nipate mschana anaeendana na mm coz mm mwenywe n matawi ya juuu
 
Back
Top Bottom