Mimi in kijana Mwenge umri 24 nipo chuo mwaka wa tatu ,toka nimetongoza wasichana sijawai pata kabisa,ingawa ni kijana mzuri,mrefu Nina mwili kidogo black,ila kila nikifuata msichana lazima anitolee nje,hela huwa sijui kuonga,wakuu naombeni ushauri nifanyeje ili na mimi nifurahie raha ya kuwa katika dunia hii....karubuni kwa ushauri matusi sio poa
Kabla sijakujibu naomba upitie my profile angalia posts nilizocomment ambazo zinafanana na hii post. Comments nyingi za kile zitakusaidia. Ila tu kisummarise.
Kwanza unavyoniambia upo chuo ndo unaponiangusha. Cause Mimi ningekuwa chuo cha Tanzania ningekuwa nilishapigwa disco maana sio kwa urembo wa wadada wakitanzania. Ninaposoma mimi kwanza girls shapeless, from head to toe, ni ruler. Masela zangu wa pande hizo ndio wanapenda English body[emoji23] [emoji23] . Huwezi niambia chuo kizima umeshindwa kuambulia chochote for all the 3 years[emoji20] .
Nikwambie tu kitu, the more you grow up the less friends you will make thus the less you will have. Peak ndio University. Maana kuna possibility kubwa ya co-workers wako later wawe wameolewa and by the way I hope unajua women age like milk usitegemee utamtongoza co-worker wako. Kwanza it's risky na pia atakuwa ana boyfriend(if not married YET) anaempita miaka(utaonekana kama mdogo wake wa mwisho). No offense ladies.
Fanya hivi next week salimia every girl you see, mitaani daladala, class, wherever. Don't be weird, just any girl that will catch your eyes. Simple 'Mambo' bhasi. Do this until you are comfortable, if not add another week. Itakuwa natural just like blinking. Second week, stop them, kiaje? Walk towards her, mpe Mambo, then zuga unaulizia direction. Seriously any conversation starters. Google!!! Tho anza na direction. Hata kama unapajua, uliza. Hata uliza stupid place. Etc mpo Hospital, ulizia club ipo wapi. Trust me they usually answer. After sema Asante and move on. Do this mpaka iwe natural.
Third week, tunaincrease progress. Stop them, kumbuka popote pale, ila sikushauri kwenye daladala, stendi, usiku kama yupo peke yake. Leave this to the pros. Tho success rate ndogo sana wanakuwaga wameweka 'bitch sheild' juu. Simply don't approach a girl in a setting unayoona it will make her feel like a prostitute, this includes mbele ya watu wa zima, wanawake wanapenda kufikiria jamii itanionaje. Okay back to week three. Msimamishe, say this 'Ey Mambo, I saw you across the room and I think you have a pretty smile, I thought I should come and say Hi' do this with a smile, not a weird one. Something like that, nikuambie ukweli mimi kutongoza kwa Kiswahili napigwa knockout, dem aniambie tu hajui kiingereza uone nitakavyoongea pumba. Tho nawapataga some[emoji41]. Since upo chuo wengi wanajua lugha ya Malkia. After saying that continue the conversation, 'I am Ghost, what's your name?' 'I am HeavenSent' say something funny kuhusu mazingira ya hapo, mchekeshe somehow then be like 'unapenda kuangalia game of thrones, darn you get a high five' then give her a high 5. Hapa tunabuild sexual tension (we are sexual beings anyway[emoji12] ). Pia hii inaondoa 'he is just a stranger' vibe. After mwambie 'I know it's your job to resist and it's my job to try, let's not be babies and exchange number' smile, eye contact. Trust me utapewa. Do this all week to random street girls na pia malls until it becomes natural.
Conclusion::::
This will ruin your reputation kama chuo chako kidogo. You will be that 'player'. If you care about reputation don't do it chuoni, nenda town where you will never see the people you meet again. Mwenyewe sifanyagi haya chuoni. Naenda kwenye vyuo vya wenzangu [emoji23] . This technique niliokufundisha has never failed me. Out of a 10 girls I approached 9 game their numbers, 5 we went for a date, 3 we dated, 2 I lost interest. You do the math. Darn they are good ratios. Wengine mpaka sasa nimewablue tick WhatsApp. Sijahonga hata mmoja. Once we start dating ndo nawatake care, tho before play their game. Now make this your goal in 2018. Utakuwa balaa.
P.s Tanzania we are blessed. Nilikuwa IFM juzi juzi, aiseee. Kila baada ya 5 minutes I see a hotter girl than the one passed before. See brother e no funny.[emoji113] Good Luck
WARNING::: THIS IS A DEADLY GUIDE DON'T MISUSE IT AND HURT THE GIRLS [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
-callmeGhost