rev geo pet
Senior Member
- Jul 25, 2016
- 115
- 63
Mimi in kijana Mwenge umri 24 nipo chuo mwaka wa tatu ,toka nimetongoza wasichana sijawai pata kabisa,ingawa ni kijana mzuri,mrefu Nina mwili kidogo black,ila kila nikifuata msichana lazima anitolee nje,hela huwa sijui kuonga,wakuu naombeni ushauri nifanyeje ili na mimi nifurahie raha ya kuwa katika dunia hii....karubuni kwa ushauri matusi sio poa